Konte
Member
- Jul 26, 2017
- 86
- 131
Hata mimi nawatetea be forward hawana huo uhuni nimesha watumia zaid ya mara 3 kuagiza gari nanzilifika salama kabisa kama nilivyo ziona kwenye picha.
Wewe kufikishiwa magari uliyoagiza yakiwa salama haimaanishi kila atakayeagiza atafikishiwa gari lake likiwa salama.
Pengine katika magari elfu moja kuna magari mawili au matatu yanayofika yakiwa na mapungufu.
Aliyetoa pesa yake kamili na kupokea gari lenye mapungufu, akafuatilia kwa wahusika bila kupata msaada wowote ana kila sababu ya kusema ni uhuni.