Na hili ndiyo jibu sahihi...mkiambiwa mlipie insurance mnatoa tick kupunguza bei
Mfano vitu gan waliiba?Jamaa yangu alinunua gari kwa njia ya mtanda kisha akatumia kampuni ya Befoward ili ku clear na kumfikishia mahala alipo.
Ukweli ni kwamba alifikishiwa mkoani mahala alipo ila gari ilikuwa imenyofolewa vipuri muhimu kiasi kwamba ametumia ghalama kubwa sana kuiweka gari hiyo katika hali nzuri ya kuweza kutumika pasipo shida.
Alijaribu kulalamika kwenye ofisi ya Dar na hata Japan lakini hakupata msaada wowote.Waagizaji magari kwa njia ya mtandao chukueni tahadhali hii kamupuni siyo ya kuamini tena.
Aisee miye niliagiza Befoward gari toka mwezi wa nane mwaka jana mpk leo naweka tuu mafuta.Beforward hawana huo uhuni aisee
Fanya service pia jomba usije anza lalamika kama jamaa hapo juu.Aisee miye niliagiza Befoward gari toka mwezi wa nane mwaka jana mpk leo naweka tuu mafuta.
Hahaa jamaa anaweka tu mafuta miezi 7 sasa no service.Fanya service pia jomba usije anza lalamika kama jamaa hapo juu.
Alishasema alinunua kwenye mnada kwahyo kiufupi alivutiwa na Bei rahisi iliyowekwa pale bila kulipia gharama za ukaguzi wa ghari, kwahyo kiufupi kapigwa kwenye mnada wa JapanAseme ukweli alinunua gari kwa kampuni ipi, hapo beforward wamedeliver tu mzigo.
Service kila kilomita ikifika nafanya mkuu.Fanya service pia jomba usije anza lalamika kama jamaa hapo juu.
Sasa bila service ningeendeshaje wewe, acheni ujuaji km unanilipia mafuta.Hahaa jamaa anaweka tu mafuta miezi 7 sasa no service.
Kwani sisi ndio tumeleta ujuaji au wewe ndio umesema?Sasa bila service ningeendeshaje wewe, acheni ujuaji km unanilipia mafuta.
[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa bila service ningeendeshaje wewe, acheni ujuaji km unanilipia mafuta.
Umejuaje km mimi mzee labda mimi mama acha hisiaK
Kwani sisi ndio tumeleta ujuaji au wewe ndio umesema?
By the way chilax mzee hii ni Jf tu.
hata mimi ndio nasikia leo upuuzi kama !!!!...watu waanagiza magari zaidi ya 200 kwa hawa beforward na yanafika kwa usalama wa hali ya juu kbs ...au unataka kuichafua tu hii kampuni inayoaminika kwa nchi nyingi tu barani afrika!???Beforward hawana huo uhuni aisee