Nani wa kulaumiwa: BeFoward au kampuni iliyouza gari?

Nawaamini sana be foward kuliko makupuni ya watu binafsi yamejaa ujanja wizi na upigaji mwingi be foward waliniagizia mazda cx 5 yangu ,niliikuta kwao iko poa wameshalipia kila kitu ...acha kuwachafulia be foward
 
Niliagiza kutoka Japan kupitia be-forward
 
mshukuru sana max kuweka privacy kwenye user name zetu hao jamaa wame build trust miaka 10+ sasa,na ni kampuni ambyo nimeshaagiza gari 20 mpka sasa.

kama wakisema wakufngulie mashtaka kwa kuharibu reputation yao dah mzee watakufirisi wewe na ukoo wenu mzma
 

Msitishe watu kwa kuelezea experience zao. Unless mna uhakika kwamba wanadanganya. Kama wewe una experience nzuri nao elezea na watu watapima.
 
Hii Maada nimeshare link na Beforward kanda ya kaskazini.

Amesema wale watu zamani walikua wana nunua kwa mtandao walikua wanatumia ma agent wasio waaminifu.

Wizi ulikua unafanywa na staff wa Bandarini ila kwa sasa kuna ulinzi na kamera na hakuna wizi unaotokea.

Amesema kulikuwa na wizi sana kabla ya "Jiwe"
 
mbona hueleweki si umesema tununue grade 1?
 
What you see is what you get from BF. Hawa nilikuwa siwaelewi mwanzo ila baada ya kuwatumia mara kadhaa wamekuwa chaguo langu la kwanza! Ku deal na BF naona kama naagiza gari kwa mshkaji tu. Nawakubali sana.
 
What you see is what you get from BF. Hawa nilikuwa siwaelewi mwanzo ila baada ya kuwatumia mara kadhaa wamekuwa chaguo langu la kwanza! Ku deal na BF naona kama naagiza gari kwa mshkaji tu. Nawakubali sana.
Kabisa
 

Uyu jamaa ni muongo yani kila uzi wa magari ana copy na ku paste comment hii[emoji23]
 
jama ya aliletewa gari bovu sana engine inagonga kwenda ilala akaambiwa engine used ni 2ml alipata wakati mgumu msana hawa Be forward sio kabisa wakisha kupiga hata ufanyeje awaangaiki na wewe wanakuambia garili lako hilo tusizoeane.
Wewe ni muongo tena sana na hapa umekuja kwa lengo la kuwachafua kuwaharibia biashara be forward na huenda huna hata rafiki yako aliye wahi kuagiza gari huko,

na ninadhani kama lengo ni kuwachafua umesha shindwa maana beforwad inaheshimika sana naninajitetea yenyewe hata ukiichafua itasafishwa na walio hudumiwa pale kama mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…