Nani wa kulaumiwa hapa kwenye ujenzi wa hii nyumba?

Tatizo ni engo ya mpiga picha. Ndo maana madirisha yanamezwa na paa. Picha imepigwa kutoka mlimani ndo maana nyumba inaonekana fupi. Kujua hilo jaribu kuhesabu kozi za tofari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…