Hapo sijui bwasheeMmoja au wengi?
Nani alikusanya sura zote na kuziweka pamoja kama kitabu kimoja?
Ilishushwa!Mmoja au wengi?
Nani alikusanya sura zote na kuziweka pamoja kama kitabu kimoja?
Walioihifadhi walihakikisha vipi wanasimulia iandakiwe kama walivyosimuliwa wao na Muhammad?Iliandikwa na maswahaba
Baada ya kufariki mtume Muhammad (saw) maswahaba walikubaliana kuikusanya Quran ili iwe kwenye maandishi
Hii ilisaidia kuihifadhi kwa urahisi na pia waandishi wake walikuwa ni wale wanaojulikana kwa Kuhifadhi vizuri Quran
Maana waliohifadhi ni wengi ila kuna wale ambao wanajulikana kwa ubora wao kwenye dini