TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,646 Reaction score 28,747 Sep 24, 2025 #1 Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini? Na nani waathirika wakuu wafoleni hizi? Nini kifanyike kuwanusuru waathirika wakuu wa foleni hizi? Uzi tayari. Karibuni kwa majibu.
Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini? Na nani waathirika wakuu wafoleni hizi? Nini kifanyike kuwanusuru waathirika wakuu wa foleni hizi? Uzi tayari. Karibuni kwa majibu.
C chambo rashidi JF-Expert Member Joined May 30, 2018 Posts 334 Reaction score 370 Sep 24, 2025 #2 Nipo hapa kongowe foleni imeanzia misheni
didy muhenga JF-Expert Member Joined Nov 8, 2022 Posts 2,104 Reaction score 3,594 Sep 24, 2025 #3 makampuni ya mafuta
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,371 Reaction score 28,790 Sep 24, 2025 #4 TUJITEGEMEE said: Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini? Na nani waathirika wakuu wafoleni hizi? Nini kifanyike kuwanusuru waathirika wakuu wa foleni hizi? Uzi tayari. Karibuni kwa majibu. Click to expand... Tycoon wa mtandao wa mafuta
TUJITEGEMEE said: Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini? Na nani waathirika wakuu wafoleni hizi? Nini kifanyike kuwanusuru waathirika wakuu wa foleni hizi? Uzi tayari. Karibuni kwa majibu. Click to expand... Tycoon wa mtandao wa mafuta