nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Kivipi?kwani mtu akisimamia mawazo yake lazima awe nyuma ya mtuWandugu,kwa kauli na maneno ya hovyo anayotamka huyu Polepole inaonesha hayupo pamoja na CCM wala viongozi wa serikali.
Anaongea kwa kujiamini sana bila kujali chochote.
NI UTASHI WAKE AU KUNA KUNDI KUBWA LA WATU WENYE NGUVU NYUMA YAKE?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kiroboto ni mtetezi wa watumishi wa umma ambao wanakesha wakihudumia wapiga kura, familia za watanzania wavuja jasho ambao ambao watoto wao hawawezi kuajiliwa au kurithishwa ubunge na uwaziri kama watoto wa Makamba na Mzindakaya au Pinda....Wengi tu wako nyuma ya Kiroboto...
Leo mnaona ni kujiamini lakini kujiamini wakati wa magufuli ulikuwa ni kuipinga serikali siyo?Kwani mtu akijiamini lazima awe na mtu/watu ama kundu kubwa nyuma yake...!![emoji44]
Punguza ukabila. Jina lako na fikra zako tu zinaonyesha wewe ni kundi lile la kanda ya ziwa. Hizi fikra zimeletwa na Magufuli, za kutaka kutugawa Watanzania. Mshindwe na nguvu zenu za kiza na mawazo finyu.Mission is to devide the political party into segments!! Ukanda utahusika hapa, propaganda itakua why Ukanda wa Mwendazake wengi wametupwa nje, na zaidi mbele ya safari wataunda chama kitakachopgia ama kitakachokuja kudevide votes tha kijani kama mbinu ya kuuadhibu haya yote yaliyotokea baada ya march 2021..ukimstad Pole pole ni kama analalamikia mamlaka juu ya falsafa za mwendazake kutupwa nje baada ya mwezi tajwa. Kundi ni kubwa na Niseme kuwa kundi litatikisa chama mana fikilia voters base yao inatoka wapi. Mda ni mwalimu mzuri tusubili!!
Sijamtaja Magufuli.Leo mnaona ni kujiamini lakini kujiamini wakati wa magufuli ulikuwa ni kuipinga serikali siyo?
Sukuma gang
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app