Wanaccm wenzakeWandugu,kwa kauli na maneno ya hovyo anayotamka huyu Polepole inaonesha hayupo pamoja na CCM wala viongozi wa serikali.
Anaongea kwa kujiamini sana bila kujali chochote.
NI UTASHI WAKE AU KUNA KUNDI KUBWA LA WATU WENYE NGUVU NYUMA YAKE?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app