Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Kwa niaba yangu na Taifa langu naomba kuchangia kwa haya yafuatayo.
-Akili ndio msingi wa Maisha
-Umuhimu wa ukomavu wa akili na kifikra maarifa pevu.
-Usikivu, ustahimilivu, kulinda na kuheshimu haki za wengine
-Uhuru wa kuongea na kusikilizana wa maoni na mawazo.
-Kupishana kifikra na mawazo ni afya ya msingi ya jamii yoyote ile inayoelekea,ilishafika ama inataka kuvuka level za ustaarabu wa juu.
-Ni wajibu wa kimsingi tunapopishana tufahamu na tukubali kupo kutokukubaliana na tuwe na utayari wa kukubali kutokukubaliana na kumlinda na kuheshimu hoja ama mtu mwenyewe usiekubaliana nae.
-Hati miliki ya nchi yetu ni yetu sote na haigawiki kwa mmoja mmoja au kwa makundi umiliki wa nchi ni jumuishi kwetu sote.
-Maoni au mawanzo kinzani ni afya na iende sambamba na kujibia kwa hoja tena kwa heshima na unyenyekevu.
-Dhana ya siasa,demokrasia,na uhuru wa kikatiba hatuna budi kuviishi katika mzingo wa matakwa ya kidunia kama tulivyo yapokea na kuyakubali.
-Tuwe makini Tanzania ni yetu sote. Kiumbaji baadhi yetu kiumbaji uwakilishi wetu ni Ndege Tausi, Chura,Simba,Mamba,Nyoka etc kwa hio dhana ya kulindana kikatiba ni muhimu sana.
We must live practically the intellectual abundance that has been accumulated for years.
The variety/diversity inherent in us ought to be a blessing among ourselves.