Nani wapo nyuma ya Polepole? CCM wanamlinda?

Kwa niaba yangu na Taifa langu naomba kuchangia kwa haya yafuatayo.

-Akili ndio msingi wa Maisha

-Umuhimu wa ukomavu wa akili na kifikra maarifa pevu.

-Usikivu, ustahimilivu, kulinda na kuheshimu haki za wengine

-Uhuru wa kuongea na kusikilizana wa maoni na mawazo.

-Kupishana kifikra na mawazo ni afya ya msingi ya jamii yoyote ile inayoelekea,ilishafika ama inataka kuvuka level za ustaarabu wa juu.

-Ni wajibu wa kimsingi tunapopishana tufahamu na tukubali kupo kutokukubaliana na tuwe na utayari wa kukubali kutokukubaliana na kumlinda na kuheshimu hoja ama mtu mwenyewe usiekubaliana nae.

-Hati miliki ya nchi yetu ni yetu sote na haigawiki kwa mmoja mmoja au kwa makundi umiliki wa nchi ni jumuishi kwetu sote.

-Maoni au mawanzo kinzani ni afya na iende sambamba na kujibia kwa hoja tena kwa heshima na unyenyekevu.

-Dhana ya siasa,demokrasia,na uhuru wa kikatiba hatuna budi kuviishi katika mzingo wa matakwa ya kidunia kama tulivyo yapokea na kuyakubali.

-Tuwe makini Tanzania ni yetu sote. Kiumbaji baadhi yetu kiumbaji uwakilishi wetu ni Ndege Tausi, Chura,Simba,Mamba,Nyoka etc kwa hio dhana ya kulindana kikatiba ni muhimu sana.
We must live practically the intellectual abundance that has been accumulated for years.

The variety/diversity inherent in us ought to be a blessing among ourselves.
 
Mkuu umeona mbali sana, hata Mimi naamini something is cooking !!
 
Umenena !
 
Duh!
 
Wanao mtumia mr Slowslow ni watu ambao wako karibu sana ba Mh. Mama. Yeye bado hajashtuka yuko busy kunshughulikia Mbowe. Huku wasaidizi wake wa karibu wakiandaa mikakati ya kummaliza kisiasa. Akiamka wame maliza mchezo.
 
Hakuna cha kundi kubwa wala nini. Atulie kama alivyowatuliza wenzake enzi za jiwe.
 
Nani kakwambia Ccm wanategemea kura??

Jidanganye tu!

Alafu wanaojinasibu kwa ukanda ndo watashindwa! Sasa kila Kona wanajulikana kama sukuma gang na Watanzania hawana ujinga wa kuendekeza ukanda
 
Kiroboto ni mtetezi wa watumishi wa umma ambao wanakesha wakihudumia wapiga kura, familia za watanzania wavuja jasho ambao ambao watoto wao hawawezi kuajiliwa au kurithishwa ubunge na uwaziri kama watoto wa Makamba na Mzindakaya au Pinda....
Kama yeye ni mtetezi wa Watumishi wa Umma Mbona kipindi yuko madarakani kwa miaka 5 watumishi hawakupandishwa madaraja? Huyu ni mpuuzi kama wapuuzi wengine na Safari hii wanamnyosha kweli
 
Muulize Lowasa atakupa majibu sahihi.

Huyo shetani wao aliyetangulizwa kuzimu alishinda uchaguzi kwa kupigiwa kura?
 
Kweli, na utapewa matusi makubwa ya ajabu ili wakudhalilishe tu !! Lakini hata yeye PLPL alipokuwepo ndani ya system alikuwa hivyo hivyo ! Wanasemaga " mkuki kwa nguruwe ....... " !!
 
Kwani kipindi kile yuko high table na kufanya lolote alilojisikia akina nani walikua nyuma yake?
 
Tupo wengi sana pamoja na Polepole.
Tunasubiri muda tu hao wanaojiita "chama kina wenyewe" tuwaoneshe kwamba Nchi pia inawenyewe.
Na nchi ni zaidi ya chama!
 
Tupo wengi sana pamoja na Polepole.
Tunasubiri muda tu hao wanaojiita "chama kina wenyewe" tuwaoneshe kwamba Nchi pia inawenyewe.
Na nchi ni zaidi ya chama!
Uwaoneshe kutoka wapi? Burundi?
 
Huyo kawaida yake hata kabla hajaenda ccm.
Swali.
Kakiuka wapi sheria ya JMT na kazi inayoendelea.
 
Uwaoneshe kutoka wapi? Burundi?
Muda ni mwalimu mzuri sana.
Kwa ujumla serikali ya mama imekataliwa.
Uliza yaliyomkuta Vikindu juzi kati.
Sababu ni kuongoza kwa Sera za serikali iliyokataliwa tangu 2010.
2015 CCM hali ilikuwa mbaya kiasi wakakosa mtu sahihi wakugombea na kwenda kumkurupua MAGUFULI ndiye aliyeonekana anaweza kuongea na wananchi wakamuelewa sababu ya utendaji wake usio na shaka.
Ktk kampeni waliogopa kusema chagua CCM ilitumika chagua Magufuli, Magufuli for change, nk
Sababu CCM ilikuwa haiuziki. Sikio la kufa halisikii dawa! Leo wamerudi miaka kumi nyuma kwa kasi ya ajabu!
Kiujumla mama anapoelekea asipo stuka mapema serikali hii itakuwa na hali mbaya kuliko ya Kikwete
 
Mh.Samia ni muungwana anamuacha tu aongee, ikifika muda Rais akakereka, hutamsikia tena Polepole anaongea, usicheze na nguvu ya Rais.
Rais naye alishangundua kuna wahuni wanamuhujumu ndiyo maana kamuacha Polepole apambane nao.
 
Ndivyo ilivyo mkuu kwa CCM hii na ukimuona kobe juu ya mtu jua kapandishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…