Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Eeeeh huyo mlinzi analinda zile ngoma za voda.....
Nlishasahau, mmh mlinzi unalinda vifaa ya milion 800 afu mshahara 80,000
vifaa ya milion 800 afu mshahara 80,000
mkuu hatari mi siwezi
siyo kukaba my dia bali aongee na muajiri mshahara upande kidogo jamani elfu 80 ndogo sana kwa maisha haya farkhina
mkuu hatari mi siwezi
Nitext kwenye 0715888012 tuchat...
Maisha magumu aisee we usiseme hivyi hao jamaa wa mitandao wanapata sana faida. Kampun za ulinz zalipwa $200-300 kwa mlinzi 1 kwa mwez. Lakini cash kwa mlinzi huwa ni less than $80/pm
Dah mkuu Jerrymsigwa sijui kwanini binadamu tunageukana na kufanyiana matendo ya kikatili kama hivi.
haya poa ila sidhani kwa life hii ya value added tax vat mmh farkhina
Eh nawe umetoka wapi tena? Sie tunamalizana hapa hapa whaaa whaaa whaaa haya jamani namba hizoo sa we ni mme ama ke?
Mie ndio maana nkampa dili aibe hizo ngoma ili aniuzie mie nianzishe bendi.....