Nani yuko macho tupige stori?

siyo kukaba my dia bali aongee na muajiri mshahara upande kidogo jamani elfu 80 ndogo sana kwa maisha haya farkhina
bily mimi hapa Bush ndo star.na simu zote nachaji mimi kwa generator la voda
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenena kuwa mlinzi kuna hitaji moyo tena aswaa kwa mshahara huo, madogo hawapendi shule katika karne hii wamejawa majivuno tu jamani wadogo zetu someni maisha magumu huku uraiani...!

Kwa kweli maisha ni magumu jamani hawa wadogo zetu wengine tunawaambia wasome wao wanaleta bongofleva na akina dada kupenda wanaume. Samtimz bana tunaacha mambo yaende tu but maisha magumu sana sio mchezo kuwa mlinzi inahitaji moyo
 
bily mimi hapa Bush ndo star.na simu zote nachaji mimi kwa generator la voda

ok mkuu hapo umenena vipi mafuta ya jenereta unaweka au unawekewa na je kama unanunua kuna risiti unaambatanisha kwa bosi ? Km hamna basi katana nae juu kwa juu kwenye mafuta hapo hapo life is performance mkuu Ngongoseke.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umenena kuwa mlinzi kuna hitaji moyo tena aswaa kwa mshahara huo, madogo hawapendi shule katika karne hii wamejawa majivuno tu jamani wadogo zetu someni maisha magumu huku uraiani...!
bily hao waliosoma sindio wametuletea maisha haya? Wanasifika kwa majina,Prof,Dr,engineer,utendaji zero kabisa.
 
Last edited by a moderator:
ok mkuu hapo umenena vipi mafuta ya jenereta unaweka au unawekewa na je kama unanunua kuna risiti unaambatanisha kwa bosi ? Km hamna basi katana nae juu kwa juu kwenye mafuta hapo hapo life is performance mkuu Ngongoseke.

Kama ana weka mwenyewe mie ntampelekea mafuta ya nazi bureee.....lol
 
Last edited by a moderator:
Ahhahahahaha subutuuuu wataka nipigwe risasi mwenzio....
Alafu simu yenyewe salio 0 lol...

Jamaa ataka kwenda inbox, beep utatumiwa salio kwani tatizo liko wapi bwana😝😝😝😝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…