Nani yuko macho tupige stori?

bily hao waliosoma sindio wametuletea maisha haya? Wanasifika kwa majina,Prof,Dr,engineer,utendaji zero kabisa.

Mkuu katika pitapita zangu huko duniani nimegundua tz hatuna nidhamu na kazi pia serikali ni km haiko makini. Imagine bungeni kuna madokta na pfofessors but delivery zao ni kama la 7! Hawazitendei nidhamu taaluma zao, so la7=dokta!

Kuna nchi ukiwepo hadi raha, nidhamu juu yani polisi ni polisi kweli, mwalim etc wote wana nidham na kazi zao!
 
Last edited by a moderator:
tena sana mkuu Jerrymsigwa yaani haingi akilini kabisa eti

Kuna dogo kakimbilia kwa kidume badala ya shule she makes me restless kwa kweli yani life gumu hivi afu mtu anachezea shule!! Ipo siku ulinzi utahitaji kufauru English&Geography
 
Last edited by a moderator:
Kuna dogo kakimbilia kwa kidume badala ya shule she makes me restless kwa kweli yani life gumu hivi afu mtu anachezea shule!! Ipo siku ulinzi utahitaji kufauru English&Geography
Jerrymsigwa hata mimi nimestuka nikaanza kusoma English corse
 
Last edited by a moderator:
mkuu taratibu ohoo oh kama nilivyokwambia iba kijanja.

Hiyo kidogo sio mwisho nakuwa jambazi? Bora nifumue moja tu nisepe,nikienda kujificha masasi huko nani ataniona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…