Hiyo kidogo sio mwisho nakuwa jambazi? Bora nifumue moja tu nisepe,nikienda kujificha masasi huko nani ataniona?
bily unanitisha nilishapata mteja wiki nlitaka kuanza kufungua kidogo kidogoTatizo lilipo mkuu Ngongoseke ni hao wamiliki wa voda ni mamafia hatari.
Unalala na vitasa unamuachia nani?
Kuna dogo kakimbilia kwa kidume badala ya shule she makes me restless kwa kweli yani life gumu hivi afu mtu anachezea shule!! Ipo siku ulinzi utahitaji kufauru English&Geography
bily unanitisha nilishapata mteja wiki nlitaka kuanza kufungua kidogo kidogo
taratibu mkuu ngoja tusome upepo kwanza alafu ntakuambia nataka nikutaftie wateja wa airtel namibia au zimbabwe ukiuza hapa hapa watakunyaka mkuu kwahiyo vumilia tupange mikakati.
Hahahahaha huyo anasikia harufu ya pesa....hanaga kuvumilia....
Mwache awauzie japo wauza maseredani...
Poa poa farkhina mi naandaa ugali wa mchana hapa te te
taratibu mkuu ngoja tusome upepo kwanza alafu ntakuambia nataka nikutaftie wateja wa airtel namibia au zimbabwe ukiuza hapa hapa watakunyaka mkuu kwahiyo vumilia tupange mikakati.
sawa kamanda tupo pamoja kwani vipi wakikuongeza mshahara ya lindo bado utakuwa na nia ya kuuza mnara?
Mmh mshahara gani unatosha bongo? Hapa natafuta short cut ya life
We kiboko
Jana maji yalizidi unga....
mkuu mi nishaamka ktambo lete habari za malindoni vp pako shwari. OVER!
Ahhahahahaha nlienda kutia macho nuru...