Nani yuko macho tupige stori?

Pole mkuu dah nakumbuka mwaka 2008 hiyo Mandela Road ilikua kwenye rehabilitation jam ilikua hatari wacha kabisa. Nina muda kidogo sijatia maguu motherland nahisi Kama jam imepungua.
aseeee na saiv kuna shida kule tazara wanakojenga flyover dah kule litakuwa ni balaa jingne jipya aseee.ishaanza kusumbua jam now
 
hahaha kweli kabisa mkuu,hasa ukichanganya na jotoooo
hapo banana napo pana balaa kwa kwer mhhh watu n weng sijapata kuona asubuh wakiwah kwa azam na wengine maofisin na mashulen
 
kwema naona maluwe luwe nataman ningepata wireless keyboard ili usingz ukinivaa nitupe kule pc
Hahahaha!! Umelala peke yako nini mkuu 24hrs?

Wacha ufe na utamu wako kama muwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…