wa mikoani vs dar city leo mpaka kielewekeHuku paitwa BARIADI-SIMIYU
Mtalaka Njaa tu mkuuaseeee.....so mkuu kwa hali hyo tutegemee nin sisi tuliopo huku ambako miez yote jua na tunaimport tuu misosi toka uko kwenu ase?
Hahahaha!! Umeona Eeeeeewa mikoani vs dar city leo mpaka kieleweke
du aseeee,ngoja nirudi kwetu mbeya...sijui nako hali ikoje aseMtalaka Njaa tu mkuu
mpambano mkuu,tunataka kufatilia nin kinaendlea mikoani kwetuu ase...wa mikoani vs dar city leo mpaka kieleweke
ahaa jua lina waka mifukon π³π³π³mpambano mkuu,tunataka kufatilia nin kinaendlea mikoani kwetuu ase...
dah...tunaingia nalo hadi ndani...mkuu,hatar aseahaa jua lina waka mifukon π³π³π³
Ooooiiiiiwa mikoan trp za dar tutazimiss msimu wa jamaa wa lumumba ahaa
hahaha....kumbe ilikuwa ivoooo.ase karbun mjeni tuu wenyewwa mikoan trp za dar tutazimiss msimu wa jamaa wa lumumba ahaa
wamewajengea soko zuri mwanjelwa ila vijana wa dox hawataki kuhama na sasa zambia road ina jam kama mandela road ya dar citydu aseeee,ngoja nirudi kwetu mbeya...sijui nako hali ikoje ase
Sijambo za hapa
kidogo nijue jana uliweka nyumba kwa yanga ahaaaπππOoooiiiii
Nambie ndugu
kwema kabisa sister kaja na kusepa yupo zake mmu anazulula ukokidogo nijue jana uliweka nyumba kwa yanga ahaaaπππ
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kidogo nijue jana uliweka nyumba kwa yanga ahaaaπππ
doh,usinambie mkuu....kumbe hali,iko ivo now? ko jamaa hawautaki ule mjengo wa mwnjelwa mpaka leo? sema mazoea afu na biashar inavoenda lada ndo manawamewajengea soko zuri mwanjelwa ila vijana wa dox hawataki kuhama na sasa zambia road ina jam kama mandela road ya dar city
liver kasepa na kijj dohhh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yanga jana wamenilaza mapeema
doh pole mkuu,dah kweli ase hata mi jana sikuwa na mzuka yanga hawajanitendea haki mi shabiki na mpenzi wao.ngoja tukalipize kwa simba kesh kutwaa ase[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yanga jana wamenilaza mapeema
wapo wachache sana kod tatizo no businessdoh,usinambie mkuu....kumbe hali,iko ivo now? ko jamaa hawautaki ule mjengo wa mwnjelwa mpaka leo? sema mazoea afu na biashar inavoenda lada ndo mana