Nani yuko macho tupige stori?

Mkuu Ngongoseke jana nilikwambia kuwa wateja watatoka zimbabwe au Namibia nashangaa unataka kumuzia farkhina ohoo utadakwa.
bily hapa kuna minara miwili na wa tigo,nishamshawishi mlinzi mwenzangu hapa kakubali tunauza yote usijali wewe leta customer tu
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa patamu ila kwa tgo haina mamafia baba hiyo voda ni nouma ok tgo waweza uza kwa safari com kenya au kule uganda kwa MTN

bily hapa kuna minara miwili na wa tigo,nishamshawishi mlinzi mwenzangu hapa kakubali tunauza yote usijali wewe leta customer tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…