Huu muandiko wa kiume, watu hawana hata basics za forensic education ha ha haa
Nyoooo. Hanna was kukuonyesha nyonyo kalaleeeeeeWe demu au man,kama dume nshalala.kama pande za kikeni poa
Una maanisha tusio lala mda huu ni bangi ama?
ahahahaha, ehe, nambie umetumia vigezo gani kugundua km mi ni mwanaume? nilitaka kulogout, coment hii imenifanya niendelee.
ahahahaha, ehe, nambie umetumia vigezo gani kugundua km mi ni mwanaume? nilitaka kulogout, coment hii imenifanya niendelee.
Afu we unajua nakufahamu te te tee basi yaishe les assume ni mwanaume we lala sasa!
Mkuu nimesomea kidogo forensic science
una uhakika gani kama hiyo sayans inakwambia ukweli?
Fanya ibada na Mungu wako wewe...wakati mwingine Muumba hukunyima kidogo usingizi walau umkumbuke.
Wengine mmekoseshwa usingizi ili mtulinde lol....
Mmh wana mkwara tu hao wameshaana kutoa udenda kwenye pillow saivi, keshalala mtoa mada
Wengine mmekoseshwa usingizi ili mtulinde lol....
naomba nianze na stor ninyi mmegoma! nipo safarini kikazi kwenda Arusha ila ktokana na kwenda mwendo mrefu imetubidi tulale hapa Manyala! nimefika Manyara maira ya saa 3.15 usiku gesti ni nyingi sana ila cha ajabu zote zimejaaaaaa, tumebahatisha sehemu moja tikapata vyumba vitano! sehemu zote zilizojaa ni kwamba wadada wa Kimbulu, kimang'ati, kibarabeigi wenyewe ndo huchukua vyumba wakisubiri mtu wa kulala naye! cha ajabu hawakatai kwenye yale mambo yetu! tumejiuliza sana na wenzangu, tukiwa tunapata mbili tuliwadadsi wenyeji wakasema huku si wanaume si wanawake wote kapu moja, hakuna na wivu, mtu anaondoka na mama ikibidi na watoto hata wawtatu hata wakijuana hawana wivu! hii ni zaidi ya Sinza inavyojaa Ijumaa na Jumamosi! kwamara ya kwanza nafika Manyara..................ukistaajabu ya musa ...........................
Leo ishu za misosi vip dada farkhina
Nenda kulee jikoni ukale nimeshapika tayari..
Dah hii kazi ya ulinzi mtihani sana,hawa voda wasiponiongeza salary mwezi huu wakulinda minara yao,itabidi nishushe hata hilo Ngoma moja nikawauzie hata wapiga tarumbeta,maana mbu wanakaba sana hapa