Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Huu muandiko wa kiume, watu hawana hata basics za forensic education ha ha haa

ahahahaha, ehe, nambie umetumia vigezo gani kugundua km mi ni mwanaume? nilitaka kulogout, coment hii imenifanya niendelee.
 
He? Kumbe tunaendeana PM? Aku! Ngoja nijibanie macho utakuja tu.
 
ahahahaha, ehe, nambie umetumia vigezo gani kugundua km mi ni mwanaume? nilitaka kulogout, coment hii imenifanya niendelee.

Afu we unajua nakufahamu te te tee basi yaishe les assume ni mwanaume we lala sasa!
 
Wengine mmekoseshwa usingizi ili mtulinde lol....

Dah hii kazi ya ulinzi mtihani sana,hawa voda wasiponiongeza salary mwezi huu wakulinda minara yao,itabidi nishushe hata hilo Ngoma moja nikawauzie hata wapiga tarumbeta,maana mbu wanakaba sana hapa
 
naomba nianze na stor ninyi mmegoma! nipo safarini kikazi kwenda Arusha ila ktokana na kwenda mwendo mrefu imetubidi tulale hapa Manyala! nimefika Manyara maira ya saa 3.15 usiku gesti ni nyingi sana ila cha ajabu zote zimejaaaaaa, tumebahatisha sehemu moja tikapata vyumba vitano! sehemu zote zilizojaa ni kwamba wadada wa Kimbulu, kimang'ati, kibarabeigi wenyewe ndo huchukua vyumba wakisubiri mtu wa kulala naye! cha ajabu hawakatai kwenye yale mambo yetu! tumejiuliza sana na wenzangu, tukiwa tunapata mbili tuliwadadsi wenyeji wakasema huku si wanaume si wanawake wote kapu moja, hakuna na wivu, mtu anaondoka na mama ikibidi na watoto hata wawtatu hata wakijuana hawana wivu! hii ni zaidi ya Sinza inavyojaa Ijumaa na Jumamosi! kwamara ya kwanza nafika Manyara..................ukistaajabu ya musa ...........................

Hii ni hatari virusi njenje
 
Mlinzi hahaha acha kutuibia bana, we mlinzi ulinde na uko Jf? Na sa kumi kasoro hii ndio wezi wanapita pita dah kama kwel pole snaa mkuu lkn sio haba salary ya voda si $20ph?
 
Dah hii kazi ya ulinzi mtihani sana,hawa voda wasiponiongeza salary mwezi huu wakulinda minara yao,itabidi nishushe hata hilo Ngoma moja nikawauzie hata wapiga tarumbeta,maana mbu wanakaba sana hapa

Hahhahhha kwani huna neti?...hiyo ngoma njoo uniuzie mie nataka kuanzisha bendi...lol
 
Back
Top Bottom