Nani yuko macho tupige stori?

Ikiwa unapost comment Jf sasa ivi (kwa saa za Tz), huenda status ya uhusiano wako ni:
-single
-amesafiri
-ameniboa
-leo kaniboa

Am sure wale ambao wako on the same bed ngumu kuupdate status mida hii
Cc: farkhina

acha tu JERRY!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahha ukali wa nini sasa wakati mie mchapa kazi mzuri tu....lol
Haya vipi wewe wamuwaza nani mpaka usiku huu hujalala😛😛😛

hataa simuwazi mtu ila nilikula visivyolika tumbo limevurugika usingizi hakuna..nisaidie tiba bas mpenzi..
 
aaa..! si kweli, mbona leo wengine kabisa? akina ngongoseke, lajiwat au we huwaoni?

Hahha Mimi toka jana niliweka wazi nalinda minara ya voda,sasa hapa nahisi kuna walinda vitasa wenzangu ila hawataki kijambulisha tu
 
Ikiwa unapost comment Jf sasa ivi (kwa saa za Tz), huenda status ya uhusiano wako ni:
-single
-amesafiri
-ameniboa
-leo kaniboa

Am sure wale ambao wako on the same bed ngumu kuupdate status mida hii
Cc: farkhina

Humo humo kaka,wengine wanazima na vilongalonga vyao kwa kisingizio cha mgao wa umeme,kumbe simu zote matatizo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…