jana umekuja saa kumi 11 kasoro hv afu unasema ulikuwepo. leo big up!
Nlikuepo bhana sema nlijificha tu....msije kuniita mwanga bureee..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jana umekuja saa kumi 11 kasoro hv afu unasema ulikuwepo. leo big up!
kweli maisha kutafuta..haya lete story au boss mkali!!
acha tu JERRY!
Yaani wakeshaji ni wale wale wa kila siku@farkhina Jerrymsigwa
Jerrymsigwa anajifanya bonge la mjanga wakati namuona hapo anasinzia na kaweka vijiti kama mr bean lol...acha tu JERRY!
Hahahahahahha ukali wa nini sasa wakati mie mchapa kazi mzuri tu....lol
Haya vipi wewe wamuwaza nani mpaka usiku huu hujalala😛😛😛
aaa..! si kweli, mbona leo wengine kabisa? akina ngongoseke, lasiwat au we huwaoni?
Jerrymsigwa anajifanya bonge la mjanga wakati namuona hapo anasinzia na kaweka vijiti kama mr bean lol...
http://m.youtube.com/watch?v=tPGO5LSMJAU
aaa..! si kweli, mbona leo wengine kabisa? akina ngongoseke, lajiwat au we huwaoni?
mie ndo nimeamka kule nilikua namkimbia NyaniNgabu!
nitake radhi @rugwebe
Ikiwa unapost comment Jf sasa ivi (kwa saa za Tz), huenda status ya uhusiano wako ni:
-single
-amesafiri
-ameniboa
-leo kaniboa
Am sure wale ambao wako on the same bed ngumu kuupdate status mida hii
Cc: farkhina
hahahaha...! kwan uongo jaman? aya basbasbas ulikuwepo...!
Hahha Mimi toka jana niliweka wazi nalinda minara ya voda,sasa hapa nahisi kuna walinda vitasa wenzangu ila hawataki kijambulisha tu
Te te te nkajua usiku na umechoka. Nyani ngabu rais wa wapiga box mtata sana