Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe!!!! yaani mke wangu anafyatua mapacha tu....hakatwi mtu mirija hapa:shocked:
Hakuna querry, kama kawa ntawajoin nikiamka mie ntalala in few coming hrs
unamaanisha?? ndo unalala nini?
Huyu mkwe wangu huyu....we ngoja tu nimuandalie zengwe ambalo hatalisahau
naomba nianze na stor ninyi mmegoma! nipo safarini kikazi kwenda Arusha ila ktokana na kwenda mwendo mrefu imetubidi tulale hapa Manyala! nimefika Manyara maira ya saa 3.15 usiku gesti ni nyingi sana ila cha ajabu zote zimejaaaaaa, tumebahatisha sehemu moja tikapata vyumba vitano! sehemu zote zilizojaa ni kwamba wadada wa Kimbulu, kimang'ati, kibarabeigi wenyewe ndo huchukua vyumba wakisubiri mtu wa kulala naye! cha ajabu hawakatai kwenye yale mambo yetu! tumejiuliza sana na wenzangu, tukiwa tunapata mbili tuliwadadsi wenyeji wakasema huku si wanaume si wanawake wote kapu moja, hakuna na wivu, mtu anaondoka na mama ikibidi na watoto hata wawtatu hata wakijuana hawana wivu! hii ni zaidi ya Sinza inavyojaa Ijumaa na Jumamosi! kwamara ya kwanza nafika Manyara..................ukistaajabu ya musa ...........................
ndo kusema wote mmelala?
Wamelala hao,kesho shule
Aah wapi...mpira kwanza
Tim gn leo
Barcelona vs Ajax
Poa,itakayofunga ndo timu yangu hiyo.
ehee...! wale wa stori, jerrymsigwa,watu8, charminglady, na yule mlinzi wetu hasinzii wala halali, na wewe uliyekoswakoswa na madem wa manyala, leteni stori za leo.
i think nataka kuwasiliana tu sio mbaya hata mm napata wakati mgum sana kulala usiku i dnt knw