Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

ehee...! wale wa stori, jerrymsigwa,watu8, charminglady, na yule mlinzi wetu hasinzii wala halali, na wewe uliyekoswakoswa na madem wa manyala, leteni stori za leo.
 
kila kitu kina faida yake na hasara yake, wenye computer umeme ukiisha baas, sisi na visimu vyetu tunapeta tu
 
naomba nianze na stor ninyi mmegoma! nipo safarini kikazi kwenda Arusha ila ktokana na kwenda mwendo mrefu imetubidi tulale hapa Manyala! nimefika Manyara maira ya saa 3.15 usiku gesti ni nyingi sana ila cha ajabu zote zimejaaaaaa, tumebahatisha sehemu moja tikapata vyumba vitano! sehemu zote zilizojaa ni kwamba wadada wa Kimbulu, kimang'ati, kibarabeigi wenyewe ndo huchukua vyumba wakisubiri mtu wa kulala naye! cha ajabu hawakatai kwenye yale mambo yetu! tumejiuliza sana na wenzangu, tukiwa tunapata mbili tuliwadadsi wenyeji wakasema huku si wanaume si wanawake wote kapu moja, hakuna na wivu, mtu anaondoka na mama ikibidi na watoto hata wawtatu hata wakijuana hawana wivu! hii ni zaidi ya Sinza inavyojaa Ijumaa na Jumamosi! kwamara ya kwanza nafika Manyara..................ukistaajabu ya musa ...........................

Dunia inayoyoma hii
 
i think nataka kuwasiliana tu sio mbaya hata mm napata wakati mgum sana kulala usiku i dnt knw
 
ehee...! wale wa stori, jerrymsigwa,watu8, charminglady, na yule mlinzi wetu hasinzii wala halali, na wewe uliyekoswakoswa na madem wa manyala, leteni stori za leo.

Duuuuh leo nlilala balaaa at leadt ndio naamka sasa!!
 
Back
Top Bottom