Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
hahahahaaa,,,,,ni usemi tu rafiki.....
We husinziagi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaaa,,,,,ni usemi tu rafiki.....
We husinziagi?
Hahahaahaaahahah Jerrymsigwa nlikua nakutafuta....najisemea leo vipi au mambo ya kukesha yamekushinda?
Mbona mimi hujanitafuta? au undugu wetu wa machungwa?@farkhina
We husinziagi?
Hata sijui nina balaa gani siku hizi naishiwa usingizi katikati ya usiku....
Pole sana usijali utapona...
Wewe ni kiboko aisee ha ha haaa
Jamani! Kumbe Nyie Hamjui Maumivuuu!! Ukipatwa Ndo Utajua Tafsida! Mgonjwa Mweleze Wazi, Asije Akasema Uliposema Vile Mm Sikuelewa! Nyie Ni Director Nn, Wenzu Ss Manesi.
aaaa, nimeamini, ngongoseke na farkina ni walinzi! maana mnatisha! leo ilikuwa zamu yangu kuishiwa charge kwenye sm, niliwamiss!
Poleee....chezea farkhina kwa kukesha lol
Mweeeee mweeee mweeee nimeshangaa kwa kinyakyusa
Huyu farkhina Leo sijui yuko shift gani tu,
hamna usingizi kabisa yaani