Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Midia zinadokoadoka kidogo cha mfukoni ndo maana kimyaMedia zimelala usingizi mzito pia.zinareport zaidi kandanda wanacha taarifa zenye maslahi makubwa.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] ata dm basMmoja ninamfahamu.
Aaaah kama mbwai iwe mbwai si Mwendazake hayupo huyo si ndo akisemwa anateka watu?Sitaki ushaidi mm,mada kama hizi nashauri zifungwe hapa JF.
Maana ukiongea ongea unaweza ukajikuta umetupwa katika daraja la Kigamboni bila nguo watu washafanya yao.
Umeuliza jambo la msingi sana mtoa mada..!! Tunashadadiwa habari za Sabaya wakati kuna mtu kajiunganishia bomba la mafuta since 2017 huko anapakua tu mzigo halipi kodi wala nini alafu Raia Mwema na wengine kila siku Sabaya.Kutokana hali iliyopo sasa ikumbukwe kwamba mkuu wa mkoa Dar es Salaam, Amos Makalla juzi alikuta bomba la mafuta wilaya ya Kigamboni watu ambao hakuwagaja wamejiunganishia mafuta cha ajabu yeye alikamata watu mbalimbali na kusema kwamba ataunda kamati juu ya swala hilo tangu azungumzie swala hilo tayari kuna ukimya wa sintofahahamu hata mkuu wa TAKUKURU hajafatilia swala hilo
Tunachoona mitandaoni ni kuripoti taarifa za Sabaya tu hujuma ya bomba la mafuta pamoja na tani moja ya madawa ya kulevya yaliyolipotiwa mwezi uliyopita mambo hayo huwezi sikia yakiongelewa zaidi ya kusikia kesi ya sabaya siku ya kuripoti mahakamani.
Je kosa ni la wanandishi wa habari au kuna mtu yupo nyuma ya saga hiyo! Kwanini mkuu takukuru hazungumzii kuhusu saga ya bomba la mafta!
Naona kuna mahala hapo sawa watanzia tuna kazi kubwa kupaza sauti sehem tunapoona mambo hayaendi sawa tusikae kusifia tu hata tukiona mabaya tuyaseme bila kupepesa macho!waandishi wa habari mna kila sabab ya kuhoji juu ya bomba la mafta iwe kupitia kwa mkuu takukuru au mkuu wa mkoa kujuwa ukweli wa jambo hilo
Baadhi ya watanzania ni watu waajabu sana. Badala kulalamikia vitu muhimu kama vyakula na bidhaa mbali mbali kupanda bei, mafuta/petrol/diesel, ushuru wa magari, vifaa vya ujenzi, tiketi za ndege, kodi n.k. nyie mnakimbilia bandari na vifurushi vya data/kupiga simu. Yoye chuki na wivu kwa wawekezaji.. huu ujinga sijui utaisha lini!
Yani kuna watu wanaona watanzania milion 60 ni wajinga sana wameifanya nchi kama ya kwao na ukiongea chochote unashughulikiwa.Umeuliza jambo la msingi sana mtoa mada..!! Tunashadadiwa habari za Sabaya wakati kuna mtu kajiunganishia bomba la mafuta since 2017 huko anapakua tu mzigo halipi kodi wala nini alafu Raia Mwema na wengine kila siku Sabaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeuliza jambo la msingi sana mtoa mada..!! Tunashadadiwa habari za Sabaya wakati kuna mtu kajiunganishia bomba la mafuta since 2017 huko anapakua tu mzigo halipi kodi wala nini alafu Raia Mwema na wengine kila siku Sabaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hata waziri mkuu hasemi kamwachia mkuu wa mkoa kule hakugusiki na hakuna anayeinua mdomo kupasemea hapo
Hii nchi kuna watu wameiweka mfukoni huwezi amini wanafanya yao yani watanzania milion 60 wamefanywa wajinga
Mkuu una uhakika kuwa hivyo ulivyotaja havijapigiwa kelele?
Jamaa bado unaangaika na marehemu tu? tuko awamu ya sita tena hii bado hujachoka tu kumtajataja Magufuli? maana naona unalazimisha hii mada azungumziwe Magufuli ambaye ameshajifia na hana tena cha kufanya ila wewe bado unataka tuendelee kulalamika tu kwa maiti.Usishangae kukuta ni deal la huyo huyo waziri Mkuu, au ulikuwa ni mradi wa jiwe ndio maana alikuwa hataki uhuru wa vyombo vya habari, ili aendelee kutupiga vizuri. Huoni hilo jambo halizungumziwi kwa aibu iliyopo, maana wananchi wakijua waliokuwa wanajifanya wazalendo ndio waliokuwa wanatupiga, hasira itazidi.
Jamaa bado unaangaika na marehemu tu? tuko awamu ya sita tena hii bado hujachoka tu kumtajataja Magufuli? maana naona unalazimisha hii mada azungumziwe Magufuli ambaye ameshajifia na hana tena cha kufanya ila wewe bado unataka tuendelee kulalamika tu kwa maiti.
Hata Nyerere anazungumziwa ila hatuwezi kukaa tu kuanza kulalamika tu Nyerere alikosea hili na kuharibu lile wakati tuna nafasi ya kurekebisha hayo mambo. Sasa wewe bado unataka tuendelee kuzungumzia huo utawala wa awamu ya tanoTunamuongelea Mussolin mpaka leo, itakuwa huyo dictator pori.
Nani amekulazimisha kumjadili dhalimu boss?Hata Nyerere anazungumziwa ila hatuwezi kukaa tu kuanza kulalamika tu Nyerere alikosea hili na kuharibu lile wakati tuna nafasi ya kurekebisha hayo mambo. Sasa wewe bado unataka tuendelee kuzungumzia huo utawala wa awamu ya tano