Nani yuko nyuma ya hujuma dhidi ya Bomba la Mafuta la Kigamboni?

Nani yuko nyuma ya hujuma dhidi ya Bomba la Mafuta la Kigamboni?

Tulia, utapotezwa wewe, Sara Msafiri aliyekuwa mkuu wa wilaya ya kigamboni ndiye aliyevujisha hiyo project ya wakubwa, yupo Kibaha huko hutamuona tena akiongelea.Kaa kimya kabisa, ushaona hata gazeti la Uhuru au Habari Leo au magazeti yana ripoti hiyo saga!issue ya malori kupanga foleni, bunge Lili simama hadi Pm akaenda kutatua, hii ngoma ngumu. Utasikia polisi wakisema tunawashikiria watu wahusika, haiwataj wala hatuwaoni.
Inaonekana Mzee Ulimwengu anahusika.Mbona kigazeti chake cha maandazi ,RAIA mwema akiongelei kabisa hiyo habari
 
Kwenye wizi wa aina hii, yanayoathirika ni makampuni ya mafuta. Maana mafuta tayari yanakuwa yamepita kwenye flow meters.
Inakuwaje mtu anaunganisha pipes zote hizo underground na anauza nje ya hiyo nyumba kimya kimya?
 
Tunachoona mitandaoni ni kuripoti taarifa za Sabaya tu hujuma ya bomba la mafuta pamoja na tani moja ya madawa ya kulevya yaliyolipotiwa mwezi uliyopita mambo hayo huwezi sikia yakiongelewa zaidi ya kusikia kesi ya sabaya siku ya kuripoti mahakamani.
Hiyo tani moja ya unga labda mwana wa mfalme kaanza tena kwa kutumia mbinu tofauti. You neva know!
 
Baadhi ya watanzania ni watu waajabu sana. Badala kulalamikia vitu muhimu kama vyakula na bidhaa mbali mbali kupanda bei, mafuta/petrol/diesel, ushuru wa magari, vifaa vya ujenzi, tiketi za ndege, kodi n.k. nyie mnakimbilia bandari na vifurushi vya data/kupiga simu. Yoye chuki na wivu kwa wawekezaji.. huu ujinga sijui utaisha lini!
Baadhi ya watanzania ni watu waajabu sana. Badala kulalamikia vitu muhimu kama vyakula na bidhaa mbali mbali kupanda bei, mafuta/petrol/diesel, ushuru wa magari, vifaa vya ujenzi, tiketi za ndege, kodi n.k. nyie mnakimbilia bandari na vifurushi vya data/kupiga simu. Yoye chuki na wivu kwa wawekezaji.. huu ujinga sijui utaisha lini!wewe ndie mtu WA ajabu sijui nikuite mwenda wazimu.we hayo mafuta yatoke bila kulipiwa ushuru hivo vitu ulivovitaja vitashukaje na wakati hata bajeti yenyewe hivo vitu ndo vimepandishiwa Kodi ili walipa Kodi wavilipie.wasiongelee madawa ya kulevya we unajua ni idadi ya watu wanaoangamia na hayo madawa ya kulevya huko mtaani? Ni Bora kama wewe huna la kusema Acha wengine waseme ni haki ya mtu kusema ilimradi hajavunja katiba.tulia dawa ikuingie.
 
Yaani viongozi woote wamekuwa mabubu kwenye hii ishuu. Waandishi wamekamata chao pia hata kuripoti wanawaonea haya. Labda Mabeho na timu yake maana hao Tiss wamekuwa Kiss wanabonyezwa kizenji shenzi type.
 
Back
Top Bottom