Nani yuko nyuma ya hujuma dhidi ya Bomba la Mafuta la Kigamboni?

Inaonekana Mzee Ulimwengu anahusika.Mbona kigazeti chake cha maandazi ,RAIA mwema akiongelei kabisa hiyo habari
 
Kwenye wizi wa aina hii, yanayoathirika ni makampuni ya mafuta. Maana mafuta tayari yanakuwa yamepita kwenye flow meters.
Inakuwaje mtu anaunganisha pipes zote hizo underground na anauza nje ya hiyo nyumba kimya kimya?
 
Tunachoona mitandaoni ni kuripoti taarifa za Sabaya tu hujuma ya bomba la mafuta pamoja na tani moja ya madawa ya kulevya yaliyolipotiwa mwezi uliyopita mambo hayo huwezi sikia yakiongelewa zaidi ya kusikia kesi ya sabaya siku ya kuripoti mahakamani.
Hiyo tani moja ya unga labda mwana wa mfalme kaanza tena kwa kutumia mbinu tofauti. You neva know!
 
 
Yaani viongozi woote wamekuwa mabubu kwenye hii ishuu. Waandishi wamekamata chao pia hata kuripoti wanawaonea haya. Labda Mabeho na timu yake maana hao Tiss wamekuwa Kiss wanabonyezwa kizenji shenzi type.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…