The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Wapuuzi hawa hawawezi kujibu hoja. Wakati Mbunge wa Nkasi bwana Kessy anawananga Wazanzibar bungeni enzi za JPM, waligonga Meza kumpongeza. Leo Lissu anakuja na hoja wanataka kumjengea zengwe.Hoja mnajibu lini sasa, naona mnaanza kuwinda watu
Wazanzibari hawautaki Muungano.Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa pakubwa kwenye nia yake ovu. Kutamka hadharani kuwa "huyu Rais mzanzibari anauza ardhi yetu" sio bahati mbaya. Kuna watu nyuma yake ambao huenda wako ndani ya CCM au nje ya CCM. Ninamshauri Rais Dr Samia atumie vyombo vyake kudhibiti mapema hiki kinachoendelea.
Wale watetezi wa Lissu ni wa kuwapuuza kwasababu wengi wao ni maskini watakaoteseka endapo Lissu na genge lake wakifanikiwa wanachokitaka. Ikumbukwe Lissu, Lema, Sugu, Mbowe na viongozi wengine wa juu CHADEMA wana access ya kwenda Ulaya muda wowote wakitaka wao na familia zao hivyo haiwadhuru kabisa wao kueneza chuki.
Umeandika ujingaWakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa pakubwa kwenye nia yake ovu. Kutamka hadharani kuwa "huyu Rais mzanzibari anauza ardhi yetu" sio bahati mbaya. Kuna watu nyuma yake ambao huenda wako ndani ya CCM au nje ya CCM. Ninamshauri Rais Dr Samia atumie vyombo vyake kudhibiti mapema hiki kinachoendelea.
Wale watetezi wa Lissu ni wa kuwapuuza kwasababu wengi wao ni maskini watakaoteseka endapo Lissu na genge lake wakifanikiwa wanachokitaka. Ikumbukwe Lissu, Lema, Sugu, Mbowe na viongozi wengine wa juu CHADEMA wana access ya kwenda Ulaya muda wowote wakitaka wao na familia zao hivyo haiwadhuru kabisa wao kueneza chuki.
Wewe umelipwa na nani kueneza hii elimu ya ujinga?Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na genge lake la kihuni lenye nia ovu ya kuleta machafuko nchini kupitia suala la Muungano. Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa pakubwa kwenye nia yake ovu. Kutamka hadharani kuwa "huyu Rais mzanzibari anauza ardhi yetu" sio bahati mbaya. Kuna watu nyuma yake ambao huenda wako ndani ya CCM au nje ya CCM. Ninamshauri Rais Dr Samia atumie vyombo vyake kudhibiti mapema hiki kinachoendelea.
Wale watetezi wa Lissu ni wa kuwapuuza kwasababu wengi wao ni maskini watakaoteseka endapo Lissu na genge lake wakifanikiwa wanachokitaka. Ikumbukwe Lissu, Lema, Sugu, Mbowe na viongozi wengine wa juu CHADEMA wana access ya kwenda Ulaya muda wowote wakitaka wao na familia zao hivyo haiwadhuru kabisa wao kueneza chuki. Damu ya mtanzaia kumwagika kwao ni furaha kubwa na mtaji kisiasa.
Wewe ndio wa kupuuzwa!Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa pakubwa kwenye nia yake ovu. Kutamka hadharani kuwa "huyu Rais mzanzibari anauza ardhi yetu" sio bahati mbaya. Kuna watu nyuma yake ambao huenda wako ndani ya CCM au nje ya CCM. Ninamshauri Rais Dr Samia atumie vyombo vyake kudhibiti mapema hiki kinachoendelea.
Wale watetezi wa Lissu ni wa kuwapuuza kwasababu wengi wao ni maskini watakaoteseka endapo Lissu na genge lake wakifanikiwa wanachokitaka. Ikumbukwe Lissu, Lema, Sugu, Mbowe na viongozi wengine wa juu CHADEMA wana access ya kwenda Ulaya muda wowote wakitaka wao na familia zao hivyo haiwadhuru kabisa wao kueneza chuki.
Msiwe wajinga nyinyi, jibuni hoja zake, walio nyuma ya Lissu ni Watanganyika, kwanini mnataka kumeza Tanganyika kibwege hivyo ?Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa pakubwa kwenye nia yake ovu. Kutamka hadharani kuwa "huyu Rais mzanzibari anauza ardhi yetu" sio bahati mbaya. Kuna watu nyuma yake ambao huenda wako ndani ya CCM au nje ya CCM. Ninamshauri Rais Dr Samia atumie vyombo vyake kudhibiti mapema hiki kinachoendelea.
Wale watetezi wa Lissu ni wa kuwapuuza kwasababu wengi wao ni maskini watakaoteseka endapo Lissu na genge lake wakifanikiwa wanachokitaka. Ikumbukwe Lissu, Lema, Sugu, Mbowe na viongozi wengine wa juu CHADEMA wana access ya kwenda Ulaya muda wowote wakitaka wao na familia zao hivyo haiwadhuru kabisa wao kueneza chuki.
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa pakubwa kwenye nia yake ovu. Kutamka hadharani kuwa "huyu Rais mzanzibari anauza ardhi yetu" sio bahati mbaya. Kuna watu nyuma yake ambao huenda wako ndani ya CCM au nje ya CCM. Ninamshauri Rais Dr Samia atumie vyombo vyake kudhibiti mapema hiki kinachoendelea.
Wale watetezi wa Lissu ni wa kuwapuuza kwasababu wengi wao ni maskini watakaoteseka endapo Lissu na genge lake wakifanikiwa wanachokitaka. Ikumbukwe Lissu, Lema, Sugu, Mbowe na viongozi wengine wa juu CHADEMA wana access ya kwenda Ulaya muda wowote wakitaka wao na familia zao hivyo haiwadhuru kabisa wao kueneza chuki.
Tumsikilize Lucas Mwashambwa anasemaje kuhusu hili... mawazo yake ndo yatakuwa msimamo wa JF.Msiwe wajinga nyinyi, jibuni hoja zake, walio nyuma ya Lissu ni Watanganyika, kwanini mnataka kumeza Tanganyika kibwege hivyo ?
Katiba ya Zanzibar hiyooo ndo inamchochea Lissu so shughulikeni nayo.Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa pakubwa kwenye nia yake ovu. Kutamka hadharani kuwa "huyu Rais mzanzibari anauza ardhi yetu" sio bahati mbaya. Kuna watu nyuma yake ambao huenda wako ndani ya CCM au nje ya CCM. Ninamshauri Rais Dr Samia atumie vyombo vyake kudhibiti mapema hiki kinachoendelea.
Wale watetezi wa Lissu ni wa kuwapuuza kwasababu wengi wao ni maskini watakaoteseka endapo Lissu na genge lake wakifanikiwa wanachokitaka. Ikumbukwe Lissu, Lema, Sugu, Mbowe na viongozi wengine wa juu CHADEMA wana access ya kwenda Ulaya muda wowote wakitaka wao na familia zao hivyo haiwadhuru kabisa wao kueneza chuki.
Yeye kanukuu katiba, kosa lake ni kuelezea uzuri wa katiba ya zanzibari kwa watanganyika wasiojiita watanganyika?Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa pakubwa kwenye nia yake ovu. Kutamka hadharani kuwa "huyu Rais mzanzibari anauza ardhi yetu" sio bahati mbaya. Kuna watu nyuma yake ambao huenda wako ndani ya CCM au nje ya CCM. Ninamshauri Rais Dr Samia atumie vyombo vyake kudhibiti mapema hiki kinachoendelea.
Wale watetezi wa Lissu ni wa kuwapuuza kwasababu wengi wao ni maskini watakaoteseka endapo Lissu na genge lake wakifanikiwa wanachokitaka. Ikumbukwe Lissu, Lema, Sugu, Mbowe na viongozi wengine wa juu CHADEMA wana access ya kwenda Ulaya muda wowote wakitaka wao na familia zao hivyo haiwadhuru kabisa wao kueneza chuki.
Hahahaa uchumi gani huo unaokuwa kwa kasi? Huu huu wa serikali kukosa hata pesa ya kuwalipa wastaafu kwa wakati mpaka wanalazimisha kikokotoo?Huyo ni kibaraka wa mabeberu ambaye anatumika kutaka kuvunja muungano wetu adhimu pamoja na kuchochea machafuko hapa nchini, ili hatimaye kuharibu uchumi wetu huu ambao kwa sasa unakua kwa kasi.
Kosa la Lissu ni nini??Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa pakubwa kwenye nia yake ovu. Kutamka hadharani kuwa "huyu Rais mzanzibari anauza ardhi yetu" sio bahati mbaya. Kuna watu nyuma yake ambao huenda wako ndani ya CCM au nje ya CCM. Ninamshauri Rais Dr Samia atumie vyombo vyake kudhibiti mapema hiki kinachoendelea.
Wale watetezi wa Lissu ni wa kuwapuuza kwasababu wengi wao ni maskini watakaoteseka endapo Lissu na genge lake wakifanikiwa wanachokitaka. Ikumbukwe Lissu, Lema, Sugu, Mbowe na viongozi wengine wa juu CHADEMA wana access ya kwenda Ulaya muda wowote wakitaka wao na familia zao hivyo haiwadhuru kabisa wao kueneza chuki.
Unaelewa hata maana ya muunganoHuyo ni kibaraka wa mabeberu ambaye anatumika kutaka kuvunja muungano wetu adhimu pamoja na kuchochea machafuko hapa nchini, ili hatimaye kuharibu uchumi wetu huu ambao kwa sasa unakua kwa kasi.