Nani yuko nyuma ya Lissu kwenye hizi chuki wanaoneza kuhusu Uzanzibari na Utanganyika?

Tanganyika wanalalamikia wawe na madaraka na serikali yao,Zanzibar nao wanataka serikali yenye madaraka kamili,lakini pia Tanganyika iwe na serikali yao watoke kwenye koti la muungano, hapo tuitishe mjadala wa kitaifa tupime hoja na tupate mwafaka kabla mambo hayajaharibika nadhani pande zote mbili zinakerwa na mfumo wa sasa wa muungano wa serikali mbili ingawaje wote nikiwemo mimi naunga mkono kuungana kwa udugu.
 
Nchi ina chawa mazezeta mpaka imefikia mahali wanadhani hakuna mtu mwenye uwezo kufanya jambo bila mtu kuwa nyuma yake kama wao walivyo.
 
watanganyika wako nyuma yake,acha uchawa
 
Mkakati wa kipumbavu ni ule wa kudumaza akili za watanzania kwa kuwalazimishia Muungano wa Kishoga kama huo. Muungano ambao hata punguani lazima angeona ulazima wa kuubadilisha.
Huo Muungano wenu hauna tofauti na kukubali ndoa za kishoga, yaani za jinsia moja.
Mdomoni watanzania wanapinga mapenzi ya jinsia moja, lakini ukiungalia mfumo wao wa maisha ndiyo wanachokiishi.

Rekebisheni Muumgano huo ili tuiboreshe nchi na kudumisha amani, upendo na uzalendo. Mtu anawezaje kuwa Mzalendo kwa nchi ambayo unaona ni kama mtu aliyekalia middle finger kwa aina ya muungano wake?
Ila kujadiliana na nyie ni kupoteza muda tu, kesho rais Samia akiamka na kukubaliana na hoja za Lissu na nyie mtabadilika na kuanza kumshangilia mama kuwa anaupiga mwingi.

Kwa kifupi nyie mnaotangulizwa mbele zamani ndiyo tulikua tunawaita maamuma, sema jina maamuma mmeona kama linawatukanisha mkaona mjiite machawa. Huwa kamwe hamjui mtakacho.
 
Wewe huwezi kwenda Ulaya?

Dunia ni Kijiji 😂😂
 
Wewe ni shoga? Kwenye maelezo yako umeongelea sana ushoga kuashiria wewe ni punga.
 
The state ilishasema katiba mpya iandikwe!

Mkojani fc wakashupaza shingo!

Sasa naona move ya kumshusha kisiasa imefana sana!wanahakikisha kura za Tanganyika asizipate au uchaguzi uote mbawa Hadi katiba mpya ipatikane!!
 
Jibu likufaalo katika uzi wako ni..UNA AKILI FUPI SANA huwezi jadili hoja nzito anazozitoa lissu.
 
Mada nyingine ni za kijinga kwelikweli, kama hii hapa ni mfano halisi.
 
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa pakubwa kwenye nia yake ovu. Kutamka hadharani kuwa "huyu Rais mzanzibari anauza ardhi yetu" sio bahati mbaya. Kuna watu nyuma yake ambao huenda wako ndani ya CCM au nje ya CCM.
Wewe ndiye mwenye ualakini, Samia mwenyewe alijisema ni mzanzibari sasa kitu gani kibaya amekisema Lisu
 
Kuanzia niko Form 1 haya maongezi ya kutotaka Muungano yapo na sasa hivi niko retired officer bado yapo na Muungano haujavunjika.

Sisi tutakufa kama Seif Shariff Hamad na Aboud Jumbe lakini Muungano uta prevail

Lissu na Jussa wanafurahisha baraza tu na kupata trending za social media
 
Ila wananchi wa Tz wakiwa serious na kuamua kwa dhati kabisa ya mioyo yao kwamba Muungano ni lazima ufe, basi unaweza kufa hata kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…