Nani yuko nyuma ya Lissu kwenye hizi chuki wanaoneza kuhusu Uzanzibari na Utanganyika?

Hivi bila Muungano kwako ni vita vitatokea??
 
Kwani kuelezea uhalisia wa uraia wa mtu ni chuki? Kwani wewe ni mtanganyika au mpalestina?
 
Mbona mnavitisho vya kizamani sana! jibuni hoja za Lissu acheni kubwabwaja.
 
Ila wananchi wa Tz wakiwa serious na kuamua kwa dhati kabisa ya mioyo yao kwamba Muungano ni lazima ufe, basi unaweza kufa hata kesho.
Utapata nini cha ziada ukivunja Muungano?

Wakati East Africa Community inazidi kupata mvuto kwa nchi kujiunga kutoka zile 3 za asili (Kenya, Tanzania na Uganda) hadi kuwa na nyongeza za Rwanda, DRC, Burundi na South Sudan, huku Tanzania wanaharakati uchwara wanataka kuvuruga muungano uliotulia??

Mpaka Somali na Ethiopia wako kwenye mchakato wa kuingia EAC. Eti sisi tunaona ZNZ ni mzigo kisa hawalipi umeme au Shaka ni DC wa Shinyanga.

Dunia nzima itatucheka. Mfumo wa Serikali 3 waonekana uko vulnerable kuvunja muungano ndiyo maana haushabikiwi sana.

Watu wanaogopa kilichotokea kwa Gorbachev alipobaki hana ardhi anayotawala

Senegal na Gambia walikuwa na Muungano wakaita Senegambia ila walidumu kwa muda mfupi
 
Mkuu habari yako?Naamini unaumwa.Pole sana.
 
Kichwa chako ni kama begi la kubebea meno
 
Tulio nyuma ya Lissu tuko wengi sana bila kujali vyama vyetu labda AICT Wazalendo pekee yao ndiyo wanaona Muungano una faida kwao.
 
Uzanzibar na utanganyika upo sana. Tatizo watanganyika wamekalia masikio na kuacha wakoloni wa kizanzibar watawale kuanzia vijijini mpaka ikulu.
 
Kama hufahamu tu, basi kuanzia sasa fahamu tu, hawa ndio wako nyuma ya Lissu, ndio waliomtuma.
1. Watanganyika zaidi ya 50milioni.
2. Viongozi wa juu wa CCM bara
3. Askari
 
Chawa Ni mdudu mchafu anaenyonya damu binadamu
 
Muundo wa muungano no vema urekebishwe mkuu ili tuwe na muungano imara.Hapa ni bora tuchague serikali 1 au 3
 
Watu wanacholalamika ni double standard iliyopo kwenye muungano unakua mtanzania ambae huna haki upande mmoja wa muungano alafu wale wa upande wa pili wana haki zote kila sehemu.
 
Kwani mkuu 'Huihui2' huu ndio utakuwa muungano wa kwanza kuvunjika?

Hata mimi sitaki uvunjike, lakini Muungano kamwe hauwezi kuendelea kuwepo katika huu muundo tunaouona sasa hivi.

Tanganyika ilipotea, Zanzibar na yenyewe lazima ipotee; hakuna la ajabu hapo.
 
Muundo wa muungano no vema urekebishwe mkuu ili tuwe na muungano imara.Hapa ni bora tuchague serikali 1 au 3
Serikali moja tu inatosha; hakuna sababu ya kuwa na hizo tatu, au mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…