Nani yuko nyuma ya Lissu kwenye hizi chuki wanaoneza kuhusu Uzanzibari na Utanganyika?

Bado unatumia hizo hofu za kijinga miaka hii, na unaamini kweli Bado Kuna wakujaa kwenye propaganda hizo? Au ww ndio ulikuwa unaonyesha picha za mauaji ya kimbari ya Rwanda wakati mfumo wa vyama vingi umerejea hapa nchini? Kizazi kimebadilika hiki, kinajua uongo na ukweli.
 
tujiulize je wazanzibari wana upendo kwa watanganyika alafu ndio tuanze kuona kuna chuki inaenezwa...... ogopa sana ww huwezi nunua ardhi ila wao wanaweza huo muungano ni mavi mavi tu na kushindwa kwa sera za ujamaa za jamaa yule mwishoe akaona alete mambo ya hovyo
 
Mgonjwa wewe atachekwa kizimkazi fc kwa chuki zake dhidi ya wamasai na watanganyika kwa ujumla
 
Muundo wa muungano no vema urekebishwe mkuu ili tuwe na muungano imara.Hapa ni bora tuchague serikali 1 au 3
It is more of security importance than anything else. Kunogesha tuu ndio tunaweka siasa, tunapeana zamu ya kuongoza pamoja na cultural intergration, ila the main reason is security.
Zanzibar kama Zanzibar can never sustain itself in so many ways, immediately wakijitenga, they will immediately have another foreign country either as its ally or beneficial from so as to sustain it.
So there is no way ikawa independent, not anytime soon atleast
 
Kiazi
 
Tuambie kwanza kunafaida gani ambazo mtanganyika anafaidika moja kwa moja kupitia huu Muungano ?
 
Watu wanacholalamika ni double standard iliyopo kwenye muungano unakua mtanzania ambae huna haki upande mmoja wa muungano alafu wale wa upande wa pili wana haki zote kila sehemu.
Tunahitaji kubadilisha mtazamo tu. Tatizo letu kubwa ni umaskini. Zanzibar ingekuwa tajiri kama Qatar, mengi ya yanayosemwa wala isingekuwa issue. Kama sikosei, Area Commissioners from Zanzibar au positions nyingine zimepewa Watu wa upande mwingine wa Mwungano toka enzi za Mwalimu Nyerere. Tumesoma nao, nk.
 
Lile libunge lipumbavu linakula na kunya likiwa mainland alafu linataka Watanganyika waingie Visiwani kwao kwa passport
 
Naona mnatamani mkampige tena risasi zingine mlivyo na roho mbaya

Ole wenu
 
Uliowaita wapuuzi ni wengi Sana. Hoja ya haki za Tanganyika ilikuwa imelala tu na haikauanza Leo. Wewe unayenuka maziwa ndo unadhani Lissu ndo WA Kwanza. Tumechoka Muda mrefu tulikuwa thnasubiri wa kutuamsha. Kapatikana sasa.
 
Very stupid idiot..

Kwani Samia Suluhu Hassan na Prof. Makame Mbarawa sio Wazanzibari..?

Hata hili huwezi kulielewa?

Wizara ya Ujenzi ni ya Muungano? Kwanini iongozwe na Mzanzibari?

That's why I call you, "stupid idiot..!!"
 
Nafikili mtoa mada atakuwa amepata jibu kuwa ni watanganyika ndio wako nyumba ya lissu kutokana na comment zilizotolewa na wachanfiaji
 
Very stupid idiot..

Kwani Samia Suluhu Hassan na Prof. Makame Mbarawa sio Wazanzibari..?

Hata hili huwezi kulielewa?

Wizara ya Ujenzi ni ya Muungano? Kwanini iongozwe na Mzanzibari?

That's why I call you, "stupid idiot..!!"
Wewe maku kajifunze upya kutukana. Tuliza kinyeo unapoona uzi wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…