Nani yuko nyuma ya Lissu kwenye hizi chuki wanaoneza kuhusu Uzanzibari na Utanganyika?

Nani yuko nyuma ya Lissu kwenye hizi chuki wanaoneza kuhusu Uzanzibari na Utanganyika?

Uliowaita wapuuzi ni wengi Sana. Hoja ya haki za Tanganyika ilikuwa imelala tu na haikauanza Leo. Wewe unayenuka maziwa ndo unadhani Lissu ndo WA Kwanza. Tumechoka Muda mrefu tulikuwa thnasubiri wa kutuamsha. Kapatikana sasa.
Kukuamsha wewe na mumeo?
 
Mtoa mada soma replies na like zake alafu tafuta utetezi sehemu nyingine au nje ya JF asee!.
Kwahiyo kama mataahira wengi wameamua kujaa kwenye huu uzi kupinga ndo hoja zao zikubalike? Comments nyingi hapa ukisoma ni za wavuta bangi wanaonishambulia badala ya kujenga hoja
 
Kwani mkuu 'Huihui2' huu ndio utakuwa muungano wa kwanza kuvunjika?

Hata mimi sitaki uvunjike, lakini Muungano kamwe hauwezi kuendelea kuwepo katika huu muundo tunaouona sasa hivi.

Tanganyika ilipotea, Zanzibar na yenyewe lazima ipotee; hakuna la ajabu hapo.
FACT.
 
Kama unatoa hoja za kijinga, then you will always be a stupid idiot..

Hutaki kuwa a stupid idiot, badilisha mtazamo wako. Acha kuwa mdudu na chawa wa mama
Jomba naona baada ya kutukanwa Stupid idiot na mume wa dada yako hapo kwake ndo unakuja kupunguza hasira huku JF? Hama hapo kwa dada yako.
 
Jomba naona baada ya kutukanwa Stupid idiot na mume wa dada yako hapo kwake ndo unakuja kupunguza hasira huku JF? Hama hapo kwa dada yako.
Jombaaa, umeibua hoja mwenyewe ktk thread yako. Unapaswa kutetea za hoja yako. Acha ukuda na kupayuka hovyo kama mbwa koko..

Kuanza kurusha ujinga wako hapa badala ya ku - focus ktk kutetea mawazo yako hakuna jina jingine unaloweza kuitwa zaidi ya kuwa wewe ni mjinga and stupid idiot at the same time..

Hutaki kuwa "a stupid idiot", nakushauri futa hoja yako kwenye jukwaa hili kisha kimbia kabisa utoke humu...!

Kwa heri🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻
 
Watanganyika walidhani kwamba wameimeza Zanzibar,mwisho wamejikuta wao ndo wamemezwa na Wazanzibar.kwa mahesabu ya akili kubwa.

Huu muungano ni Sawa na Hadithi ya Ngamia na Mzee mwenye hema.
 
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.

Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa pakubwa kwenye nia yake ovu. Kutamka hadharani kuwa "huyu Rais mzanzibari anauza ardhi yetu" sio bahati mbaya. Kuna watu nyuma yake ambao huenda wako ndani ya CCM au nje ya CCM. Ninamshauri Rais Dr Samia atumie vyombo vyake kudhibiti mapema hiki kinachoendelea.

Wale watetezi wa Lissu ni wa kuwapuuza kwasababu wengi wao ni maskini watakaoteseka endapo Lissu na genge lake wakifanikiwa wanachokitaka. Ikumbukwe Lissu, Lema, Sugu, Mbowe na viongozi wengine wa juu CHADEMA wana access ya kwenda Ulaya muda wowote wakitaka wao na familia zao hivyo haiwadhuru kabisa wao kueneza chuki.
Akili yako Haina akili Bora ukae kimya
 
Mleta uzi naamini umeshapata muongozo kwamba watanganyika hawataki tena kulea KUPE wa kizanzibari.
 
Back
Top Bottom