Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

mpira wa afrika bhanaaa 😀 😀 😀 😀
 
Tafuta Hela mamayer zako
 
Hawezi kudhamini, hana ubavu huo.
Watu wenye roho ya kimaskini wana taabu sana,tajiri namba moja Afrika Mashariki anakosaje ubavu wa kudhamini halafu tajiri asiye hata kwenye kumi bora aweze?
 
Hapa ndipo ninapompa heshima Mzee Rage kuwa mashabiki wa Simba ni mbumbumbu, yaani badala ya kushughulikia matatizo ya uongozi na timu yenu mbovu mnahangaika na mkataba wa GSM,ndio wakina Mangungu wanawafanyia watakavyo.
Kwanini usimpe heshima Haji Manara aliyesema kwenu wote ni matahira kasoro wawili tu, baba yake na mzee JK? Kuna mkataba gani usiohojiwa? Kwa maslahi yapi? Unaposema timu ni mbovu umetumia kigezo gani? Ipo nafasi ya ngapi kwenye msimamo waligi? Na wewe ulitaka iwe nafasi ya ngapi?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mpaka nimemkumbuka yule CEO wa kike wa Simba SC, angekuwepo wangetolea tu ufafanuzi watake au wasitake!

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Timu za Tanzania zina hali ngumu sana kiuchumi kwa ligi ya Tanzania inahitaji wawekezaji a.k.a masponsor wengi

Unawakataa gsm wasidhamini timu unajua hali ya uchumi ya timu ndogo tusiwe tunaongea kishabiki
Kwani wamelazimishwa kucheza? By the way, hatujakataa kudhaminiwa tunachohoji mdhamini wa timu ya Yanga kwanini awe mdhamini wa timu nyingine? Huoni ni rahisi kupanga au kuamua matokeo zitakapokutana na Yanga au mpinzani wa Yanga?

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kwani huo.Mkataba una nini?wakiutolea.ufafanuzi tukajua vipengele vyake
Wewe unaohoji kama nani? Au unaona kuna uwezekanano wa Liverpool kuhoji mkataba wa FA na Emirates? Au maana ya mkataba baina ya pande mbili zinakupiga chenga.
 
Kama hakuna sheria inayoizuia mdhamini mmoja kudhamini timu zaidi ya 10 badi hakuna shida, tofauti na hapo Pereka pendekezo la kuifanyia sheria marekebisho tofauti na hapo unakosa hoja.
 
Mkataba wa Yanga na sportspesa unajuwa vifungu vyake vyote?
Unaujua mkataba wa NBC na Bodi ya Ligi au TFF?
Umeuona mkataba wa Azam na TFF?
Jamaa anaonesha kuwa anayoufahamu afifu juu ya maana ya neno mkataba.
 
Watu wenye roho ya kimaskini wana taabu sana,tajiri namba moja Afrika Mashariki anakosaje ubavu wa kudhamini halafu tajiri asiye hata kwenye kumi bora aweze?
Jiulize halafu tafakari.
 
Hivi kwa mfano MO angedhamini Mngesema hivyo???
Mkuu Mo huyu huyu na ubahili wote ule ? Au Mo gani ? Kwani nyie mnataka kujua nini based on what subject au base line ? Mkishajua indepth ya mikataba ya part mbili ambazo hazihusiani na simba mtapata faida gani ?
 

2021????
 
Mkataba huu sio kwamba ulipaswa Kuisha November 2023?
 
Majina ya udaktar yamekuwa ya matahira kabisa!!
 

Walishajitoa kwenye kudhamini ligi yenu..
Kaangalia Ulaya Betway, Fly Emirates, Sportpesa wanazamini timu zaidi y mbili katika ligi moja na hakuna kelele km hizi..
Uwanjani quality inaonekana hata hvyo Mo hajazuiwa kudhamini timu nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…