denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Ni wazi kuna jambo la siri linalofichwa lililopo kwenye huo mkataba kati ya TFF na GSM.
Ni wapumbavu pekee watakaolinganisha uwepo wa huo mkataba kati ya TFF na GSM, waone uko sawa na ile mingine ambayo imewahi kuingiwa na vilabu vya mpira kama Azam na TFF.
TFF lazima ituambie ni zipi contents za huo mkataba, sio kuishia kutaja kiasi cha pesa tu bilioni 2, vilabu vya mpira vikiwa kama shareholders wa mpira wetu wana haki ya kujua kilichopo kwenye huo mkataba.
Huwezi kuingia mkataba na TFF kuhusu mpira wa miguu halafu useme ni wa siri ikiwa kuna vilabu vingine vinavyoshiriki ligi yetu, kitendo cha kuzuia wengine wasihoji juu ya kilichomo kwenye huo mkataba ni ujinga wa hali ya juu, udikteta, na upuuzi mkubwa kabisa.
TFF na GSM watambue hili sio taifa la mazuzu wasiojua kuhoji kama wao, na kuwatisha kuwachukulia hatua za kisheria wale watakaohoji, wakati Katiba yetu 1977 imetoa haki ya uhuru wa kutoa maoni kwenye jambo lolote, huo mkataba kati ya TFF na GSM hauwezi kuwa juu ya Katiba yetu Tanzania.