Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Acha unafki, wakati kelele za kuhoji mkataba wa bandari zinatikisa mitandao mwaka jana, ulikuwa wapiMmeshindwa kuhoji mkataba wa bandari mnahoji mkataba wa TFF na GSM .. wajinga sana nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha unafki, wakati kelele za kuhoji mkataba wa bandari zinatikisa mitandao mwaka jana, ulikuwa wapiMmeshindwa kuhoji mkataba wa bandari mnahoji mkataba wa TFF na GSM .. wajinga sana nyie
Bila kusahau ni wa mika miwili Tangu December 2021Unataka tujadili mkataba wa 2021?
Kumbe kwenye uchaguzi vyama huwa vina wadhamini?Uchaguzi 2025 mzamini wa ccm ni GSM
Bila kusahau ni wa mika miwili Tangu December 2021
Mkataba wa Yanga na sportspesa unajuwa vifungu vyake vyote?Umekosea Swali..
Swali la kujiuliza ni kwanini Vifungwe..
Wote tunajua kuwa Mkataba huwa wazi kwa Wanufaika wa mkataba huo Sasa kwanini Vifungu vya mkataba vifichwe kwa Wanafaika hao??
Si adhamini kwani kakatazwa........Hivi kwa mfano MO angedhamini Mngesema hivyo???
Azam anadhamini timu zote na kama hujui kila msimu Azam inatoa fungu kwa club zote zinazo shiriki ligi kuu ili mechi zao zioneshwe na Azam.Azam haidhamini Timu zote inadhamini Ligi na mkataba wa Udhamini wake ni Kwenye Kuonyesha Ligi..
Na kuhusu Uwanja hawapewi kwa Hisani wanalipia Uwanja, Kwa hyo wakilipia huwezi sema wanapewa Bure..
Swala ni kwamba Kwanini Vipengele vya Udhamini kati ya TFF na GSM visiwekwe wazi...
Vipengele vya NBC na TFF viko wazi
Vipengele vya Azam na TFF viko wazi..
Kwanini GSM na TFF Vifichwe
Ni malalamiko ya wadau au Wana Simba?!Baada ya Malalamiko mengi ya Wadau kuhusu GSM kuwa na Udhamini wa Timu zaidi ya Sita kwenye Ligi ya NBC, na kufanya Mpira wetu kuwa na sintofahamu kwa sababu GSM pia ndiyo mdhamini wa timu ya Yanga.
baada ya Viongozi sa Simba kuhoji hilo Kwa TFF, TFF imekuja na Jibu kwamba hakuna anayeruhusiwa kuhoji kuhusu Mkataba huo.
Je, hii ni sahihi kwa mustakabali wa Ufanisi wa Soka letu?
Inawezekanaje Mdhamini wa Ligi awe ndo Mdhamini wa Timu Ndani ya Ligi na adhamini timu zaidi ya Mbili na ukihoji unatisihiwa kuchukuliwa hatua.
Wananchi tushtuke.
PIa soma
Mashabiki wa Simba wamehamia kwenye kumshutumu GSM kudhamini timu zaidi ya 6
Kuna upepo hivi sasaa unasambaa kama moto wa petrol kuwa inakuwaje kwenye ligi moja mdhamini aweze kudhamini timu 6 kwenye ligi moja? Kwa maana hiyo hizi timu ndogo zinazodhaminiwa na GSM zinaipa yanga matokeo ya bure kwa sababu tu zinatokana na mdhamini kuwa mmoja. Swali la kujiuliza je SIMBA...www.jamiiforums.com
View attachment 2932503
Hii umeirenew halafu unataka ionekane thread mpya?Kwani huo.Mkataba una nini?wakiutolea.ufafanuzi tukajua vipengele vyake
Yote inajulikana Mkuu na ndo inatumika Kuunda kanuni za leagueMkataba wa Yanga na sportspesa unajuwa vifungu vyake vyote?
Unaujua mkataba wa NBC na Bodi ya Ligi au TFF?
Umeuona mkataba wa Azam na TFF?
I don't think you are serious.Yote inajulikana Mkuu na ndo inatumika Kuunda kanuni za league
Tuachane na hayo mkuu Draw ya CAFCL saa ngapi maana Nilisikia ni Saa 14 Cairo time ambayo ni sawa na 13:00 EAT..I don't think you are serious.
Ligi yetu bado changa, acheni hao GSM wazipe sapoti hizo timu. Wakati Yanga na Simba wanamdhamini mmoja watu walikuwa kimya. Je tatizo ni Ushindi wa Yanga? Mbona kuna Sport pesa hamsemi. Hizi timu zinatumia gharama kubwa bila, kama hamtaki GSM awe mdhamini hebu zitafutieni hao masponsor au mzisapoti nyie.Baada ya Malalamiko mengi ya Wadau kuhusu GSM kuwa na Udhamini wa Timu zaidi ya Sita kwenye Ligi ya NBC, na kufanya Mpira wetu kuwa na sintofahamu kwa sababu GSM pia ndiyo mdhamini wa timu ya Yanga.
baada ya Viongozi sa Simba kuhoji hilo Kwa TFF, TFF imekuja na Jibu kwamba hakuna anayeruhusiwa kuhoji kuhusu Mkataba huo.
Je, hii ni sahihi kwa mustakabali wa Ufanisi wa Soka letu?
Inawezekanaje Mdhamini wa Ligi awe ndo Mdhamini wa Timu Ndani ya Ligi na adhamini timu zaidi ya Mbili na ukihoji unatisihiwa kuchukuliwa hatua.
Wananchi tushtuke.
PIa soma
Mashabiki wa Simba wamehamia kwenye kumshutumu GSM kudhamini timu zaidi ya 6
Kuna upepo hivi sasaa unasambaa kama moto wa petrol kuwa inakuwaje kwenye ligi moja mdhamini aweze kudhamini timu 6 kwenye ligi moja? Kwa maana hiyo hizi timu ndogo zinazodhaminiwa na GSM zinaipa yanga matokeo ya bure kwa sababu tu zinatokana na mdhamini kuwa mmoja. Swali la kujiuliza je SIMBA...www.jamiiforums.com
View attachment 2932503
Wakati wanaingia mkataba hawakushirikishwa!?Yaani unidhamini mimi halafu huniambii Umeandika nini kwenye mkataba?