Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

Mmeshindwa kuhoji mkataba wa bandari mnahoji mkataba wa TFF na GSM .. wajinga sana nyie
Acha unafki, wakati kelele za kuhoji mkataba wa bandari zinatikisa mitandao mwaka jana, ulikuwa wapi
 
Umekosea Swali..
Swali la kujiuliza ni kwanini Vifungwe..
Wote tunajua kuwa Mkataba huwa wazi kwa Wanufaika wa mkataba huo Sasa kwanini Vifungu vya mkataba vifichwe kwa Wanafaika hao??
Mkataba wa Yanga na sportspesa unajuwa vifungu vyake vyote?
Unaujua mkataba wa NBC na Bodi ya Ligi au TFF?
Umeuona mkataba wa Azam na TFF?
 
azam wanamiliki team na ndio wadhamini wakuu wa ligi hadi mjomba wako, tatizo nini?
 
Azam haidhamini Timu zote inadhamini Ligi na mkataba wa Udhamini wake ni Kwenye Kuonyesha Ligi..
Na kuhusu Uwanja hawapewi kwa Hisani wanalipia Uwanja, Kwa hyo wakilipia huwezi sema wanapewa Bure..

Swala ni kwamba Kwanini Vipengele vya Udhamini kati ya TFF na GSM visiwekwe wazi...

Vipengele vya NBC na TFF viko wazi
Vipengele vya Azam na TFF viko wazi..
Kwanini GSM na TFF Vifichwe
Azam anadhamini timu zote na kama hujui kila msimu Azam inatoa fungu kwa club zote zinazo shiriki ligi kuu ili mechi zao zioneshwe na Azam.
 
Ni
Baada ya Malalamiko mengi ya Wadau kuhusu GSM kuwa na Udhamini wa Timu zaidi ya Sita kwenye Ligi ya NBC, na kufanya Mpira wetu kuwa na sintofahamu kwa sababu GSM pia ndiyo mdhamini wa timu ya Yanga.

baada ya Viongozi sa Simba kuhoji hilo Kwa TFF, TFF imekuja na Jibu kwamba hakuna anayeruhusiwa kuhoji kuhusu Mkataba huo.

Je, hii ni sahihi kwa mustakabali wa Ufanisi wa Soka letu?

Inawezekanaje Mdhamini wa Ligi awe ndo Mdhamini wa Timu Ndani ya Ligi na adhamini timu zaidi ya Mbili na ukihoji unatisihiwa kuchukuliwa hatua.

Wananchi tushtuke.

PIa soma

View attachment 2932503
Ni malalamiko ya wadau au Wana Simba?!
 
wanatafuta pakutokea wameshindwa kupata !!!
Timu ya Mr.Janjajanja !
 
Mwambieni Kanjibai kwanza atoe ule wa kununua timu yenu billioni 20 tuuangalie au nanyi muuangalie halafu muulize ya timu zingine. Wa kwenu wenyewe hamjauona wala hamuujui sasa mnangángánia ya wenzenu ya nini ????
Toa boriti kwa jicho lako kwanza !
 
Nduguzetu mbumbumbu Fc wamechangamyikiwa, Azam ni mmoja wa wadhamini wa ligi ya NBC na Wana timu inashiriki ligi hii.

GSM wali ingia mkataba wa kuwa mmoja wa wadhamini, Simba wakagomea kuvaa logo na matangazo ya GSM.

Kwasasa Simba waache malalamiko ya ki puuzi watengeneze timu kwa Hali ilivyo ata MO akiwa mdhamini waligi ya NBC haiondoi Yanga kupeleka vipigo vya 5G.
Mpira unaonekana uwanjani na hauna janjajanja.
 
Mkataba wa Yanga na sportspesa unajuwa vifungu vyake vyote?
Unaujua mkataba wa NBC na Bodi ya Ligi au TFF?
Umeuona mkataba wa Azam na TFF?
Yote inajulikana Mkuu na ndo inatumika Kuunda kanuni za league
 
I don't think you are serious.
Tuachane na hayo mkuu Draw ya CAFCL saa ngapi maana Nilisikia ni Saa 14 Cairo time ambayo ni sawa na 13:00 EAT..
Baada ya hapo wanafanya Draw ya CAFCC
 
Pitia hii👇
 
Attachments

  • Screenshot_2024-03-11-20-46-24-836_com.opera.app.news.jpg
    Screenshot_2024-03-11-20-46-24-836_com.opera.app.news.jpg
    681.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_2024-03-11-20-47-44-861_com.opera.app.news.jpg
    Screenshot_2024-03-11-20-47-44-861_com.opera.app.news.jpg
    678.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_2024-03-11-20-48-10-694_com.opera.app.news.jpg
    Screenshot_2024-03-11-20-48-10-694_com.opera.app.news.jpg
    909.8 KB · Views: 2
Baada ya Malalamiko mengi ya Wadau kuhusu GSM kuwa na Udhamini wa Timu zaidi ya Sita kwenye Ligi ya NBC, na kufanya Mpira wetu kuwa na sintofahamu kwa sababu GSM pia ndiyo mdhamini wa timu ya Yanga.

baada ya Viongozi sa Simba kuhoji hilo Kwa TFF, TFF imekuja na Jibu kwamba hakuna anayeruhusiwa kuhoji kuhusu Mkataba huo.

Je, hii ni sahihi kwa mustakabali wa Ufanisi wa Soka letu?

Inawezekanaje Mdhamini wa Ligi awe ndo Mdhamini wa Timu Ndani ya Ligi na adhamini timu zaidi ya Mbili na ukihoji unatisihiwa kuchukuliwa hatua.

Wananchi tushtuke.

PIa soma

View attachment 2932503
Ligi yetu bado changa, acheni hao GSM wazipe sapoti hizo timu. Wakati Yanga na Simba wanamdhamini mmoja watu walikuwa kimya. Je tatizo ni Ushindi wa Yanga? Mbona kuna Sport pesa hamsemi. Hizi timu zinatumia gharama kubwa bila, kama hamtaki GSM awe mdhamini hebu zitafutieni hao masponsor au mzisapoti nyie.
 
Back
Top Bottom