Nani yuko The Calabash mwenge hapa saivi??..!!!

Nani yuko The Calabash mwenge hapa saivi??..!!!

Mkuu mwambie mhudumu akuongezew kinywaji nitalipa. Niko hapa pembeni nacheki mechi ya Arsenal
 
Sasa ndo mambo gani Umeshuka Kaunta na suti yako unaelekea upande ule wa mechi? Afu miwani yako meusi umeificha wapi?
Kweli umeniotea mkuu, naaangalia asernal wanajitahidi kumfurahisha wenger
 
Wakuu,
Jioni njema. Ndauli? Wamisha khinehe, mwadila, mapembelo,aslam aleykum etc. I hooe wote tuko poa,
Kama kuna mkuu yeyote as we speaking he/she is currently here at the calabash kama yuko anapata kilaji,marumbusi au kuchek game ya arsenal vs stock, njoo hapa kaunta upate ofa ya kinywaji kutoka kwa donlucchese 'The McLaren Theorem guy'
nije na boda boda utalipia?
 
Sasa Mkuu nimekuona lkn afadhali tu ungevaa Suruali, miguu midogo mno. Haikupendezi ukivaa Pensi. Alafu pensi yenyewe inakubana mapaja na ukikaa inapanda juu kama taiti.
ahahaaa tuma picha mkuu
 
Back
Top Bottom