Nani yuko The Calabash mwenge hapa saivi??..!!!

Sasa Mkuu nimekuona lkn afadhali tu ungevaa Suruali, miguu midogo mno. Haikupendezi ukivaa Pensi. Alafu pensi yenyewe inakubana mapaja na ukikaa inapanda juu kama taiti.
Hahahaha
 
Unataka kuona "le mbebez"?...[emoji3][emoji3][emoji3]..muulize.."bro"..le mutuz
 
Nimechelewa kuona huu uzi mkuu. Aisee ningekuona ningekunywa savanna za kutosha eeeh
 
Sasa Mkuu nimekuona lkn afadhali tu ungevaa Suruali, miguu midogo mno. Haikupendezi ukivaa Pensi. Alafu pensi yenyewe inakubana mapaja na ukikaa inapanda juu kama taiti.
.
Hao ndio watoto wa mchele mchele, kwenye shoo viuno mbele, mbele 😀😀😀
 
Back
Top Bottom