Page 94
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 5,204
- 15,207
Aaagh! Mkuu kuna pa kujitokeza. Ila jamaa anaonekana ni wale wa majamaa wa Nyumba nyeupe. Kuanzia suti aliyovaa,viatu vyake mpaka body language.wewe jitokeze ununuliwe bia
Naweza jitokeza kumbe napelekwa kwingine. Hapa simu yangu yenyewe nachatia chini ya Meza.