Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Na jumuia nzima ya utopolo waliambiwaje tena?Mashabiki wa Simba ni mambumbumbu - Aden Ismail Rage, Mwenyekiti Mstaafu wa Simba Sports
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na jumuia nzima ya utopolo waliambiwaje tena?Mashabiki wa Simba ni mambumbumbu - Aden Ismail Rage, Mwenyekiti Mstaafu wa Simba Sports
Fikra potovu kijana , fred vunjabei anaingia benk yoyote ile na kupewa mkopo mkubwa au yawezekana ata benk wenyewe watu wa mikopo wanamfata yeye ili akope
Kijana yuko vizuri ni upepo wake kaona fursa kaitumia
Kama una mpango wa wewe kutuletea jez feki ushindwe mkuu
Hata Babra mlianza kusema kahongwa timu
Billion 2 yenyewe ndogo maana sio t-shirt tu kuna scarfs, saa, masweta etcSio fikra potovu, swali la msingi nani anamtumia Fred? Kwa biashara ya jezi hapa bongo bado hakuna atakayeweka 2B kwenye uzalishaji wa jezi ilhali mashabiki wenyewe wanapenda kununua vitu feki.
Fred ametumika kama chambo, ila dili lina mwenyewe na halifiki hiyo thamani.
Ni pesa kidogo sanaaa kheeWivu tu, bilioni mbili sio hela nyingi
Akili za kimasikini ni mbaya sana,
Umesema kuntuTatizo sisi watanzania hatuaminiani/hatujikubali kuwa we can do something big!! Ifike sehemu tukubali kuwa Fred is big and kama kijana mwenzetu tuwe inspired
Kwani kuna ulazima wa wewe kuamini?Hakuna mfanyabiashara anayetaka aweke pesa yake ipotee. Hiyo 2B ni kiini macho, na huyo Fred katumwa na wenye timu
Mashabiki ya Yanga Sc ni majinga, yanapiga kelele kama manyani au mambwa- Aliewahi kuwa kocha Wa yanga[emoji1].Mashabiki wa Simba ni mambumbumbu - Aden Ismail Rage, Mwenyekiti Mstaafu wa Simba Sports
Vunja bei hatengenezi jezi pekee.Hatukatai Fred hela anayo lakini kutoa bilioni mbili kisa kutengeneza jezi hapana haiingii akilini. Bila shaka kuna mtu yupo nyuma ya dili hili, ambaye ameamua kumtumia Fred ili isionekane kila tenda anashinda yeye!
Je, ni nani yupo nyuma ya dili hili?
Jamaa kajilipua,hii biashara ya jezi kibongobongo ina changamoto kibaoKkukopa sio ishu ila kwa biashara ya jezi kibongobongo hiyo 2B ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, tusifichane.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye mafanikio ya kila mwanaume nyuma kuna mwanamke shupavu...!
Yawezekana kaona inalipa maana anatengenezaJamaa kajilipua,hii biashara ya jezi kibongobongo ina changamoto kibao
Wakabaki na mapaka yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akili ni Mali. Bw mmoja Kijijini kwetu alianzisha mpango wa kununua Paka TZS 20k kwa mmoja! Paka wakaadimika! Akapandisha dau! Akasema paka m1 ni 40k! Paka wakazidi kuadimika! Hatimaye akasema Paka ananunua kwa 100k! Hakuna mwenye Paka! Ghafla habari zikasambaa kuna babu Kijiji cha jirani anauza Paka 1 kwa 80k na sharti hakuuzii zaidi ya Mmoja! Watu wakavamia! Wakawanunua ili kuja kumuuzia Mjasiriamali wao anaenunua kwa 100k! Shabash.... Jamaa haonekani...
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]Akili ni Mali. Bw mmoja Kijijini kwetu alianzisha mpango wa kununua Paka TZS 20k kwa mmoja! Paka wakaadimika! Akapandisha dau! Akasema paka m1 ni 40k! Paka wakazidi kuadimika! Hatimaye akasema Paka ananunua kwa 100k! Hakuna mwenye Paka! Ghafla habari zikasambaa kuna babu Kijiji cha jirani anauza Paka 1 kwa 80k na sharti hakuuzii zaidi ya Mmoja! Watu wakavamia! Wakawanunua ili kuja kumuuzia Mjasiriamali wao anaenunua kwa 100k! Shabash.... Jamaa haonekani...
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app