Nani yupo nyuma ya Fred katika dili la Simba?

Nani yupo nyuma ya Fred katika dili la Simba?

Fikra potovu kijana , fred vunjabei anaingia benk yoyote ile na kupewa mkopo mkubwa au yawezekana ata benk wenyewe watu wa mikopo wanamfata yeye ili akope

Kijana yuko vizuri ni upepo wake kaona fursa kaitumia

Kama una mpango wa wewe kutuletea jez feki ushindwe mkuu

Sio fikra potovu, swali la msingi nani anamtumia Fred? Kwa biashara ya jezi hapa bongo bado hakuna atakayeweka 2B kwenye uzalishaji wa jezi ilhali mashabiki wenyewe wanapenda kununua vitu feki.

Fred ametumika kama chambo, ila dili lina mwenyewe na halifiki hiyo thamani.
 
Billion 2 yenyewe ndogo maana sio t-shirt tu kuna scarfs, saa, masweta etc
 
ukiwa na brand au mafanikio basi nyuma yako utapata watu watakao wekeza mitaji yao hili pesa kuzunguka.
mambo yanaweza kuwa nyuma yako kama nilivo taja juu
1)ukiwa kisoko vzuri mali kauli,pesa kwa matajiri,viongozi watakupa ili huku wakijua pesa yao hipo salama,ndio maana unaona makampuni,watu tunao wajua wameibuka haraka
2)kuna mtindo watakatishaji pesa,wauza unga na n.k wanaweza kupitisha pesa hizo hili zionekane ni za mtu fulani kwa sababu yupo vzuri kisoko au kibiashara,mifano mingi hipo kama zile pesa zilizo chotwa benki kuu kufichwa kwa mfanya biashara mkubwa
 
Alikiba ndio mwenye hizo pesa.. Fred yupo pale kama gelesha tu.
Kiba anapesa nyingi sana sema hapendi kujionesha
 
Mashabiki wa Simba ni mambumbumbu - Aden Ismail Rage, Mwenyekiti Mstaafu wa Simba Sports
Mashabiki ya Yanga Sc ni majinga, yanapiga kelele kama manyani au mambwa- Aliewahi kuwa kocha Wa yanga[emoji1].
 
Hatukatai Fred hela anayo lakini kutoa bilioni mbili kisa kutengeneza jezi hapana haiingii akilini. Bila shaka kuna mtu yupo nyuma ya dili hili, ambaye ameamua kumtumia Fred ili isionekane kila tenda anashinda yeye!

Je, ni nani yupo nyuma ya dili hili?
Vunja bei hatengenezi jezi pekee.

Ndani ya mkataba wake ana haki zote za kuitumia LOGO ya Simba atakavyo.

Kila kitu utakachokiona kina nembo ya Simba ni haki yake.

Jezi, Makava ya simu, skafuu, vitambaa, viatu, etc

Sioni sababu ya kujishukushuku muda wote. Ishtoshe Simba siyo kampuni ya Umma.

Jambo la msingi Wanahisa ( Wanachama+Mo ) wameridhika basi.

Shabiki msukule wewe subiria team imeshinda ukatambe vijiweni, inatosha.
 
Haina changamoto kama ukiweza kusimamia usambazaji vizuri jezi zinalipa maradufu ila ukiacha watu wauze wasambaze chini ni wazi utapigwa.
 
Akili ni Mali. Bw mmoja Kijijini kwetu alianzisha mpango wa kununua Paka TZS 20k kwa mmoja! Paka wakaadimika! Akapandisha dau! Akasema paka m1 ni 40k! Paka wakazidi kuadimika! Hatimaye akasema Paka ananunua kwa 100k! Hakuna mwenye Paka! Ghafla habari zikasambaa kuna babu Kijiji cha jirani anauza Paka 1 kwa 80k na sharti hakuuzii zaidi ya Mmoja! Watu wakavamia! Wakawanunua ili kuja kumuuzia Mjasiriamali wao anaenunua kwa 100k! Shabash.... Jamaa haonekani...

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wakabaki na mapaka yao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Akili ni Mali. Bw mmoja Kijijini kwetu alianzisha mpango wa kununua Paka TZS 20k kwa mmoja! Paka wakaadimika! Akapandisha dau! Akasema paka m1 ni 40k! Paka wakazidi kuadimika! Hatimaye akasema Paka ananunua kwa 100k! Hakuna mwenye Paka! Ghafla habari zikasambaa kuna babu Kijiji cha jirani anauza Paka 1 kwa 80k na sharti hakuuzii zaidi ya Mmoja! Watu wakavamia! Wakawanunua ili kuja kumuuzia Mjasiriamali wao anaenunua kwa 100k! Shabash.... Jamaa haonekani...

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119]
 
Hiyo ni hela ya kawaida sana kwa status ya Fredy Vunja bei..

Mtaji wake ni mkubwa (maduka yake ya nguo. Dar, arusha,dodoma,mwanza,mbeya). Na anauza hasa.

Pia elewa yeye ndo anaetengenexa jezi za lipuli.

Kingine yule ni mkinga og (wengi wao familia zao ziliwekeza kwenye kilimo cha miti kwa ajili ya mbao). Hivo wana assets ghali ambayo inawafanya kukopesheka kirahisi katika taasisi za kifedha.

Yote na yote, tumpe hongera kijana mwenzetu kwa kuonesha uthubutu
 
Back
Top Bottom