Nani yupo nyuma ya Nabii tito?

Reptilia

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
867
Reaction score
847
Nikiwa mitaa ya hapa mjini kati karibu na stendi kubwa halimashauri ya mji kahama mara namuona mtu aliyebeba mabango akipita mbele yangu huku akiwa mengine ameyakilia nilivomtazama zaidi niligundua ni nabii tito ,hivi huyu mtu ajapona tu au kuna watu wapo nyuma yake.

Pia amewezaje kufika huku wilayani
Uzi umeambatana na picha
 
Picha zipo wapi?
Tuziidi kutafuta pesa
 
Huyu jamaa na kaonekana maeneo mengi Tabora n.k
 
Sasa mtu alishajitangaza kuwa anafilwa wewe unazumbuka nae nini?
 
Siwanasemaga huyo jamaa ni mtu wa system ...na kweli swali la kujiuliza anawezaje kufika mpaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…