luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Na yule mswati akaenda kumtambulisha demu wake as PS wake then next week akaoa.huyo PS 😆😆😆 yaan hapo mm ndio nilicheka ...nafikiri kuna haja ya kuangalia upyaa ili swala la kuingia mjengoniNimeota nabii tito amealikwa bungeni....msisahau kuwa hata yule mlevi wa taifa bwana liquid alialikwa bungeni