Nani yupo nyuma ya Nabii tito?

Nani yupo nyuma ya Nabii tito?

Nimeota nabii tito amealikwa bungeni....msisahau kuwa hata yule mlevi wa taifa bwana liquid alialikwa bungeni
 
Kuna siku kam miaka miwili nyuma nlimuona mwenge na hayo mabango yaKe sjuj pesa huwa anapataGa wap za kusafiri mkoa kwa mkoa🤣🤣
 
Nikiwa mitaa ya hapa mjini kati karibu na stendi kubwa halimashauri ya mji kahama mara namuona mtu aliyebeba mabango akipita mbele yangu huku akiwa mengine ameyakilia nilivomtazama zaidi niligundua ni nabii tito ,hivi huyu mtu ajapona tu au kuna watu wapo nyuma yake.

Pia amewezaje kufika huku wilayani
Uzi umeambatana na pichaView attachment 2374223
Ila UJUMBE wake in SAHIHI kabisa.
 
Back
Top Bottom