Nani yupo nyuma ya Nabii tito?

Nimeota nabii tito amealikwa bungeni....msisahau kuwa hata yule mlevi wa taifa bwana liquid alialikwa bungeni
Na yule mswati akaenda kumtambulisha demu wake as PS wake then next week akaoa.huyo PS πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† yaan hapo mm ndio nilicheka ...nafikiri kuna haja ya kuangalia upyaa ili swala la kuingia mjengoni
 
Dah,, utopollo fc kila watu wa hovyo wapo kwao,,

Hadi nabii Tito?
 
Huyo jamaa ni bwabwa tu anayetafuta pesa kupitia maandiko matakatifu.
Dishi limeyumba tangu lini mwanaume Rijali akatumia Mkorogo?
 
Neno ufiraji hadi kwenye vitabu vya dini imeandikwa hivyohivyo ufiraji
 
Huyu jamaa sijuwi wapi anapata pesa za kuendesha maisha yake.Halafu ni mpenzi wa Yanga African kinoma.
Hayo mabango yake unayoyaona yana wafadhiri wenye uwezo mkubwa.

Hao wenye bendela ya upinde wa mvua.

Au wewe hujamuelewa Tito ?
Hiyo ndio task yake aliyokabidhiwa kuifanya.

Na ulishamwona na utamwona tena na tena na hayo mabango siku zijazo.

Ni kwamba yupo kazini na kama unavyomwona anaweza kufika popote kutangaza mradi wake huo.
 
Nabii anazingua sanaπŸ˜€πŸ˜€
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…