Ukimchukulia serious Oscar Oscar unaweza ukahisi anayoandikaga anamaanisha kumbe walaa, ye ameshajua namna ya kudeal na Mashabiki wa hizi team mbili
Huyo jamaa waga anaenda na upepo unapovumia, Kwa sasa Yanga wameleta hoja ya kutohudhuria mkutano wa CAF Kwa sababu hawakualikwa
Kwahiyo ukifatilia post za Oscar Oscar ni kwamba kapita na huo upepo kuonesha kwamba Yanga wanaonewa na Karia na hapo mashabiki wa Yanga Meno yote Nje
Likija swala lingine pia atapita nalo, ni sawa issue ya Simba last week kuhusu jezi, kwahiyo Oscar Oscar umaarufu wake hapo ndio unapoutoa
Leo anaweza kuamka siku nzima kawakalia kooni Simba na kesho akaamka anawapamba, hupaswi kumchukulia serious Oscar Oscar haijarishi ataongea/kusema nini