Nani yupo nyuma ya Oscar Oscar kwenye hili?

Nani yupo nyuma ya Oscar Oscar kwenye hili?

Watu kama hawa wakiendelea kuchekewa kwa uchochezi huu ipo siku wataiingiza nchi ktk machafuko. Haya ngoja tuendelee kucheka na Nyani ipo siku tutavuna mabua

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
FA wewe.
NBS cup wewe.
Timu bora ya ligi 75% wewe.
2nd top scorer wewe.
Unbeaten wewe.

Malalamiko ya nini?

Heshima haiombwi ni mastahili kutokana na uyatendayo.

Jana Bernado Silva anadai Man city hapewi heshima anayopewa Liverpool (hahahaha)

Mambo haya bana.
 
Toka Ile siku Karia kawamaani wachambuzi Mpira na Kusema wengi ni mbumbumbu na warudi shule, Oscar hajawahi kumkubali Karia hata chembe,, msala wowote wa Karia anapitanao ili kumdhoofisha tu
 
1.Oscar ana chuki ya waziwazi na raid wa TFF,sababu ni kutembea ktk mchakato wanuchaguzi wa raid wa shirikisho hilo



2.Oscar hana weredi,fikra yakinifu na ni mropokaji tu...hapa wanaofikiri kuwa anafanya joking ktk post zake wanapotea ,jamaa ndioo akili zake zilipoishia



3.Oscar ni chawa wa Haji,maana ndioo aliyemfanyia mpango mpaka kuwa meneja wa Farid Mussa,



4.OSCAR ANA AKILI NDOGO SANA,NA ,MIHEMKO...
Ni mpuuzi flani hivi.
Usisahau na kitenge alimfanyia dili la basha wa kizungu, wakaenda Ulayaa aliliwq buree, kaishia kupewaa nauli tyuuh.

Wazungu mchezo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usisahau na kitenge alimfanyia dili la basha wa kizungu, wakaenda Ulayaa aliliwq buree, kaishia kupewaa nauli tyuuh.

Wazungu mchezo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijola mbaya sana anamuuza mwezake hela anachukua yeye Oscar anaambulia ticket tu
 
Oscar huyo ni shabiki wa yanga.tangu kipindi kile anaandika tu Facebook kabla hajaingia redioni.
Yanga kinachowaponza ni kutaka kushindana na MAMLAKA.
Nimeshawaambia hii Vita mliyoianzisha katu hamuwezi kushinda.TFF ndo baba wa mpira hapa Tanzania ujeuri wowote mtakaoufanya dhidi yao mtaumia wenyewe.
Ile mechi yenu dhidi ya Simba mliyogoma kuingiza timu haya ndo malipo yake.acheni kulia lia.mnatakiwa mjifunze kwa wenzenu na muangalie mmekosea wapi.kuna timu 16 ligi kuu kwanini nyie tu ndo mnaonewa?.
Haya juzi hapo manara karikoroga badala ya kumkana mnamtetea mnasema mlimkodi ni MC hivi mnadhani TFF watakubali kuvimbiwa kifua na yanga ambayo IPO chini yake?
Ligi kuu Tanzania Vara ina timu mbili tu Simba na Yanga,, na kila kinachofanyika ni Kwa maslahi ya hizo timu mbili. Ikitokea ghafla Simba na Yanga zimegoma kushiriki ligi kuu msimu huu je ligi itakuwepo>

Kingine inatakiwa kuwa muelewa,, Yanga haina mgogoro na TFF bali ina mgogoro na Shabiki wa Simba mwenye uraia Pacha wa Coastal union na Somalia.
 
Back
Top Bottom