Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Amechukua makombe yote, bado hana lolote..!! Amemaliza ligi bila kufungwa, bado hana lolote..!! Kweli upenzi upofuKwani heshima inalazimishwa?
Si uwe na timu kali tu uone kama hautaheshimiwa?
Huna lolote unaheshimiwaje aisee?
Hii mada ni kubwa sana kwako. Rudia kusoma isha tafakariKwani heshima inalazimishwa?
Si uwe na timu kali tu uone kama hautaheshimiwa?
Huna lolote unaheshimiwaje aisee?
Msumari umegonga mfupaHii mada ni kubwa sana kwako. Rudia kusoma isha tafakari
Yamempeleka wapi hayo makombe?Amechukua makombe yote, bado hana lolote..!! Amemaliza ligi bila kufungwa, bado hana lolote..!! Kweli upenzi upofu
Yaani kabisaaa hujui mwenye makombe hayo, akishayabeba yanampeleka wapi??Yamempeleka wapi hayo makombe?
Amechukua ubingwa baada ya muda gani?
Unataka ukubwa wakati wenye mpira wao wanakuona ni kubwa jingwa?
Ila mchezo wake una hatari kubwa kwa sababu washabiki wa Yanga hawana akili wakisikia hivyo wanaamini asilimia mia kuwa wanaonewa hivyo huu ni uchocheziUkimchukulia serious Oscar Oscar unaweza ukahisi anayoandikaga anamaanisha kumbe walaa, ye ameshajua namna ya kudeal na Mashabiki wa hizi team mbili
Huyo jamaa waga anaenda na upepo unapovumia, Kwa sasa Yanga wameleta hoja ya kutohudhuria mkutano wa CAF Kwa sababu hawakualikwa
Kwahiyo ukifatilia post za Oscar Oscar ni kwamba kapita na huo upepo kuonesha kwamba Yanga wanaonewa na Karia na hapo mashabiki wa Yanga Meno yote Nje
Likija swala lingine pia atapita nalo, ni sawa issue ya Simba last week kuhusu jezi, kwahiyo Oscar Oscar umaarufu wake hapo ndio unapoutoa
Leo anaweza kuamka siku nzima kawakalia kooni Simba na kesho akaamka anawapamba, hupaswi kumchukulia serious Oscar Oscar haijarishi ataongea/kusema nini
Na kwa vile ana vimelea vya jinsia ya tatu ataipataOsca anataka nafasi ya Bumbuli.
Ila mchezo wake una hatari kubwa kwa sababu washabiki wa Yanga hawana akili wakisikia hivyo wanaamini asilimia mia kuwa wanaonewa hivyo huu ni uchochezi