Nani yupo nyuma ya Oscar Oscar kwenye hili?

Oscar ni Manyara part2 kasoro rangi yule mwingine manjano uyu mweusi
 
Kushabikia Yanga ni dhambi?
 
Yaani kabisaaa hujui mwenye makombe hayo, akishayabeba yanampeleka wapi??
Iwe miaka yoyote ile, ishu ni kwamba makombe anayo yote
Ukubwa huamuliwa na uchezaji wako, na si maamuzi ya mtu..!! Akiamua mtu matokeo yake ndo hayo, anaonekana muonevu tu..
Yanga inajipiga vita yenyewe hakuna anyipiga vita,wajikite kwenye mpira hiyo heshima wanayoioomba kea lazima itakuja yenyewe tu bila kulazimisha
 
Msimu ulioisha simba amekosa league kuu hakuna mchezaji wala kiongozi wa simba aliyesema wamedhulumiwa au kuonewa ila sasa bingwa ndo kila siku analalamika na baada ya kuona licha ya kusajili team yao ni mbovu wanaanza kabisa kuwaaminisha mashabiki kwamba tff inawaonea ili wakikosa league msimu ujao wapate kisingizio na nguruwe pori ndo kashikilia bango.
 
Yaani inashangaza sana aiseee
 
Kwan kipind malinzi anafanya unyama Kwa Simba hakuona na kingine viongozi wa yanga wapunguze dharau aisee Ile ishu ya kumwita haji Manara kwenye mwananchi ilikuwa ni kosa Sana hawana nidhamu

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Kipindi Mangungu anasema mmaonwewa bingwa kasha pwangwa mhamie Burundi ulikua jela?
 
1.Oscar ana chuki ya waziwazi na raid wa TFF,sababu ni kutembea ktk mchakato wanuchaguzi wa raid wa shirikisho hilo



2.Oscar hana weredi,fikra yakinifu na ni mropokaji tu...hapa wanaofikiri kuwa anafanya joking ktk post zake wanapotea ,jamaa ndioo akili zake zilipoishia



3.Oscar ni chawa wa Haji,maana ndioo aliyemfanyia mpango mpaka kuwa meneja wa Farid Mussa,



4.OSCAR ANA AKILI NDOGO SANA,NA ,MIHEMKO...
Ni mpuuzi flani hivi.
 
Ina bidi tumpe Uafisa Habar Yanga. Ili ampige nyundo huyo Msomali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…