Nani yupo nyuma ya Oscar Oscar kwenye hili?

Watu kama hawa wakiendelea kuchekewa kwa uchochezi huu ipo siku wataiingiza nchi ktk machafuko. Haya ngoja tuendelee kucheka na Nyani ipo siku tutavuna mabua

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
FA wewe.
NBS cup wewe.
Timu bora ya ligi 75% wewe.
2nd top scorer wewe.
Unbeaten wewe.

Malalamiko ya nini?

Heshima haiombwi ni mastahili kutokana na uyatendayo.

Jana Bernado Silva anadai Man city hapewi heshima anayopewa Liverpool (hahahaha)

Mambo haya bana.
 
Toka Ile siku Karia kawamaani wachambuzi Mpira na Kusema wengi ni mbumbumbu na warudi shule, Oscar hajawahi kumkubali Karia hata chembe,, msala wowote wa Karia anapitanao ili kumdhoofisha tu
 
Usisahau na kitenge alimfanyia dili la basha wa kizungu, wakaenda Ulayaa aliliwq buree, kaishia kupewaa nauli tyuuh.

Wazungu mchezo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usisahau na kitenge alimfanyia dili la basha wa kizungu, wakaenda Ulayaa aliliwq buree, kaishia kupewaa nauli tyuuh.

Wazungu mchezo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijola mbaya sana anamuuza mwezake hela anachukua yeye Oscar anaambulia ticket tu
 
Ligi kuu Tanzania Vara ina timu mbili tu Simba na Yanga,, na kila kinachofanyika ni Kwa maslahi ya hizo timu mbili. Ikitokea ghafla Simba na Yanga zimegoma kushiriki ligi kuu msimu huu je ligi itakuwepo>

Kingine inatakiwa kuwa muelewa,, Yanga haina mgogoro na TFF bali ina mgogoro na Shabiki wa Simba mwenye uraia Pacha wa Coastal union na Somalia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…